KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Sunday, September 29, 2013

TABASAM MUSIC NA MUSIC NYANDA ZA JUU KUSINI.

TABASAM MUSIC, NI MUSIC PRODUCTION STUDIO ILOANZIA FANYA KAZI DAR MIAKA YA 2003 NA BAADAE KUHAMIA MBEYA. THEN KWASASA INAPATIKANA IRINGA CHINI YA PRODUCER QBASS QUALITY ALIOPO KWENYE PICHA HII. STUDIO HII IMEKUA IKIJA KWA KASI SANA HASA KWENYE KUFANYA KAZI ZA HIP HOP. MIDUNDO INAYOFANYIKA HAPA NI NEXT LEVEL MPAKA IMEWEZA MTOA SUPER NYOTA WA FIESTA 2013 MBEYA AITWAE STANNA.
HAPA QBASS QUALITY AKIWA NDAN YA STUDIO ZA TABASAM MUSIC AKIFANYA YAKE. MIPIKO IFANYIKAYO HAPA HATAARI MANZEEE.
BLOGGER SELENGA KADUMA KUSHOTO NIKIWA NA PRODUSER QBASS NDAN YA STUDIO YAKE SIKU CHACHE ZILIZOPITA BAADA YA KUMTEMBELEA. NILIVUTIWA NA KAZI ZIFANYWAZO HAPA. NIKAPANDA GARI TOKA MAFINGA NA KUTUA IRINGA KUMSABAHI.
BLOGGER KUSHOTO NIKIWA NA RAYMOND WA TIP TOP CONNECTION ALIEIMBA CHORUS YA POMBEYANGU MADEE. MTOTO WA MBEYA HUYU NILIMKUTA HUMU PIA AKIFANYA YAKE.
RAYMOND, JAY, MUTTA, STANNA, NA WISMA NI BAADH YA ARTIST PIA NILOWAKUTA TABASAM MUSIC SIKU HIO.
FADDY (MTANGAZAJI NURU FM) TOKA KUSHOTO NA AKINA RAYMOND, JAY MUTTA, STANNA, WISMA WAKIWA NDAN YA TABASAM MUSIC.
BLOGGER TOKA KUSHOTO, NELY (MTANGAZAJI NURU FM) FADDY MTANGAZANI NA STANNA ARTIST SUPPER NYOTA MBEYA 2013 AKIWA NDAN YA TABASAM MUSIC.
MAN SIMPLE MTANGAZAJI NURU FM, NEMY ARTIST, FADDY, SEBBA - programmer manager, FRIDA MTANGAZAJI NURU FM, NA EDDO BASHIRI -ALIEKUA MTANGAZAJI EBONY FM PIA WALIKUAPO WAKITEMBELEA TABASAM MUSIC CHINI YA QBASS QUALITY BAADA YA KUVUTIWA NA KAZI ZAKE.
QBASS AKIWA KAPIGA POZ NDAN YA NDINGA WATOTO WAKITAA WANASE. AMEKUA AKIZIDI JICHUKULIA UMAARUFU MKUBWA KAMA PRODUCER BORA KUTOKANA NA UBORA WA KAZI ANAZO ZIFANYA. MIMI NIMEPATA BAHATI YA KUZISIKILIZA HATA ZILIZOPO JIKON HAZIJATOKA. EBANEE, HATAAAARI TUPU. PRODUCER WA KUSINI NA TZ KWA UJUMLA JIPANGENI. COZ JAMAA AKIANZA TEMA MIGODI ILIOKO JIKONI KWA MEDIA NA MTAANI, ITAKUA BALAAAAA.
TABASAM MUSIC KWA SASA INAFANYA KAZI KWA OFA MAALUM KWA MUJIBU WA QBASS, AMBAYO NI 100000 TU KWA TRACK. OFA HII NI YA MUDA TUU, BAADA YA HAPO HUENDA BEI ITABADILIKA. PIA ANATAFUTA ARTIST WA NYANDA ZA JUU KUSINI WAKONGWE AFANYENAO PROJECT MAALUM. KAMA NAWE NI MMOJA WAO FANYA KAMA UNAMTAFUTA MYAJENGE. BAADH YA TRACK ALIZO FANYA ZINASOMEKA HAPA CHINI KAMA IFUATAVYO,

Saturday, September 28, 2013

NEMY- NIMEACHA POMBE

Nemy Artist Mkali toka Iringa Kuja na Track Mpya iitwayo Nimeacha Pombe, Chini Ya Sampamba Music. Zaidi Sikiliza ama Downloa track Hio chini hapa, support yako Mdau. Soon atatua na Track Nyingine alofanya na Mkali Wa Kuimba tz kwa sasa. Artist gan ka simama nae, Na track inakwenda kwa Jinagan, Subiri hapa hapa, Utapata kila kitu kitaaaaam.

NAS WAKITAA ft MAYUNGA - UPENDO

Nas wa kitaa Artist Toka Mafinga-But Kwa sasa akiwa Dar, katua na Bongemoja la Mzigo yaani track Mpya Aliomshirikisha Mayunga Iitwayo Upendo. Bonge Moja la Ngoma Aisee, Fanya Kama unalitembelea hapa.

<iframe id="hulkshare-player-embed" name="hulkshare-player-embed" src="http://www.hulkshare.com/hsPlayer/embed/embed_clean.php?fn=fo6on1dyjfgg&enableDownload=1&enableCover=1&enableAdd=false&bg=undefined&fg=undefined&iconColor=undefined&backColor=undefined&outColor=undefined&overColor=undefined&textColor=undefined&tintColor=undefined&pid=&type=7&width=100%" scrolling="no" frameborder="0" allowTransparency="true" style="width:100%;height:160px;"></iframe>

Friday, September 13, 2013

STANNA - NEW ERROR

STANNA - New Error
Upcomming Artist Na Super Nyota wa Fiesta 2013 Mbeya. Mgodi wa Punchline Hataari. Akiwa chini ya Tabasam Records, Iringa kwa QBass. Fanya kama unachungulia chini hapo Uwezo wake. Sidhan kama kuna mwana HipHop Anaweza Tembea level za huyu dogo. Kama unabisha chungulia hapa
http://www.hulkshare.com/frhwproua41s

Wednesday, September 11, 2013

Ujio mpya wa Man Simple Chini ya Produce QBass-Tabasam Records Huu hapa.

Huu ndio ujio Mpya wa Artist Toka Iringa Town, Man Simple. Kwasasa anasomeka na track yake Mpya iitwayo KIKAPTAIN ZAIDI, Chungulia hapa http://www.hulkshare.com/afjkckzulukg
Na pia amekuja na Mzigo  Mwingine wakiwa na Geez Mabovu Uitwao MREMBO WA KUSINI nao pia chungulia hapa, http://www.hulkshare.com/raqycv69fn5s Yote ikitoka Tabasam Records Chini ya Produce QBass.

Monday, September 9, 2013

HIVI NDIVYO FIESTA SUPER NYOTA IRINGA 2013 ( ANGE TENA) ALIVYO PATIKA. FWATILIA HAPA.

 Kumsaka Super Nyota Iringa 2013 Ilianzia hapa, Man Fisa on Da stage, Mapemaaaaa alifungua.
 Then akafwatiwa na Nas, kama kawa on Da stage.
 Wa 03 akawa Absalum kupagawisha mashabiki kama kawa.
 04 akanikimbizia Zack Mzee wa kalunde, kama kawa stajin.
 05 Akawa Denyo toka Tabasam Records akifanya yake piaaaaa.
 06, Nemy akaonyesha yake alio nayo toka moyoni kwa stage.
 07 akawa Mkali Rasho akifanya yake pia stajin.
 08 Watoto wa sampamba Music wenye radha tofauti pia wakalindimisha umati hataaaariiii.
 09 Meda hakua nyuma, nae alifanya yake pia kwa stage warembo wengi hawakusita onyesha hisia zao juu yake kwa usmati aliokua naom.
 10 Then Super Nyota wetu Iringa, Namzungumzia Ange tena alifungia round ya mashindano na hatimae kuchukua Crown.
 Walisindikizwa na list ndefu ya wasanii But toka nyanda za juu kusini Alikua Mwanadada Ney-Lee Super nyota wa fiesta Mbeya 2012 on da stage akifanya mambo yake.
Wa pili alikua Mkali Quick Rocker toka Mbeya, akifanya yake on da stage. Kwa ufupi Ndivyo Ange tena Super nyota wa fiesta Iringa 2013 alivyo patika kati ya washiriki 10 walio kua wakichuana hapo. Big up sana Ange tena kwa kutuwakirisha.

Saturday, September 7, 2013