NEMY- NIMEACHA POMBE
Nemy Artist Mkali toka Iringa Kuja na Track Mpya iitwayo Nimeacha Pombe, Chini Ya Sampamba Music.
Zaidi Sikiliza ama Downloa track Hio chini hapa, support yako Mdau. Soon atatua na Track Nyingine alofanya na Mkali Wa Kuimba tz kwa sasa. Artist gan ka simama nae, Na track inakwenda kwa Jinagan, Subiri hapa hapa, Utapata kila kitu kitaaaaam.
0 comments:
Post a Comment