Huu ndio ujio Mpya wa Artist Toka Iringa Town, Man Simple. Kwasasa anasomeka na track yake Mpya iitwayo KIKAPTAIN ZAIDI, Chungulia hapa http://www.hulkshare.com/afjkckzulukg
Na pia amekuja na Mzigo Mwingine wakiwa na Geez Mabovu Uitwao MREMBO WA KUSINI nao pia chungulia hapa, http://www.hulkshare.com/raqycv69fn5s Yote ikitoka Tabasam Records Chini ya Produce QBass.
Wednesday, September 11, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment