Kumsaka Super Nyota Iringa 2013 Ilianzia hapa, Man Fisa on Da stage, Mapemaaaaa alifungua.
Then akafwatiwa na Nas, kama kawa on Da stage.
Wa 03 akawa Absalum kupagawisha mashabiki kama kawa.
04 akanikimbizia Zack Mzee wa kalunde, kama kawa stajin.
05 Akawa Denyo toka Tabasam Records akifanya yake piaaaaa.
06, Nemy akaonyesha yake alio nayo toka moyoni kwa stage.
07 akawa Mkali Rasho akifanya yake pia stajin.
08 Watoto wa sampamba Music wenye radha tofauti pia wakalindimisha umati hataaaariiii.
09 Meda hakua nyuma, nae alifanya yake pia kwa stage warembo wengi hawakusita onyesha hisia zao juu yake kwa usmati aliokua naom.
10 Then Super Nyota wetu Iringa, Namzungumzia Ange tena alifungia round ya mashindano na hatimae kuchukua Crown.
Walisindikizwa na list ndefu ya wasanii But toka nyanda za juu kusini Alikua Mwanadada Ney-Lee Super nyota wa fiesta Mbeya 2012 on da stage akifanya mambo yake.
Wa pili alikua Mkali Quick Rocker toka Mbeya, akifanya yake on da stage. Kwa ufupi Ndivyo Ange tena Super nyota wa fiesta Iringa 2013 alivyo patika kati ya washiriki 10 walio kua wakichuana hapo. Big up sana Ange tena kwa kutuwakirisha.
HIVI NDIVYO FIESTA SUPER NYOTA IRINGA 2013 ( ANGE TENA) ALIVYO PATIKA. FWATILIA HAPA.
Posted by NAOMIKADUMA On 1:33:00 PM
Related Posts:
BLACK RHINO FT HDN & CHIBWA MAN - TIME YA KUMEKI DOO ( New Audio ) Muda wa kutengeneza pesa na wimbo mpya wa Black Rhino! Kuwa wa kwanza Link … Read More
PRINCE AMOS - RASTA NJOO ( New Audio ) Habari yako ndugu yangu. huu hapa ni wimbo mpya kabisa wa Gospel Reggae, toka kwa mwanamuziki Prince Amos track inakwenda kwa jina la "Rasta Njoo… Read More
MR ET - TANZANIA ( New Audio ) kupakua wimbo wa Mr ET aka Evarest Thomas na Wimbo kwa jina Tanzania ikiwa ni HipHop Category kwa mahojiano/mawasiliano check nae kwa nambari +25… Read More
WARIOBA - GIVE ME ( New Audio ) Sasa unaweza kupakua wimbo mpya wa Warioba - Give Me Link … Read More
MWANA FA - ASANTENI KWAKUJA ( New Audio ) Hii hapa zawadi mpya kabisa kutoka kwa Mwana Falsafa - ASANTENI KWA KUJA! … Read More
0 comments:
Post a Comment