Saturday, May 10, 2014
Sunday, May 4, 2014
EMMANUEL KADUMA - KATIBA (NEW VIDEO)
Posted by NAOMIKADUMA On 2:00:00 PM
![]() |
| EMMANUEL KADUMA NI MWIMBAJI NA MTAYARISHAJI YA MUSIKI ANAE MILIKI STUDIO KUBWA ZAIDI NYANDA ZA JUU KUSINI INAYO TENGENEZA MUSIKI WA SAUTI ILIOPO IRINGA. |
![]() | |
| VIDEO YA WIMBO HUU IMEFANYWA NA DIRECTOR NICLASS CHINI YA EMAGINATION IRINGA,TANZANIA. KUTIZAMA VIDEO HIO, TEMBELEA NA BOFYA HAPA CHINI. |
Monday, April 21, 2014
CLOUD 9 - HAKUNA MATATA (NEW HOT AUDIO)
Posted by NAOMIKADUMA On 3:54:00 PM
SIKILIZA NYIMBO TOKA SAMPAMBA MUSIC YA CLOUD 9 KWA JINA LA HAKUNA MATATA KUSHIKA NUMBER ONE KWENYE COST 2 COAST MIXTAPE IN USA TOKA IRINGA TANZANIA MPAKA AMERICA NA KUWAZIDI WAMAREKANI WENYE LUGHA YAO .TANZANIA WE RUN THE WORLD JIVUNIE SAMPAMBA MUSIC TOKA IRINGA.
TINO MAFIA FT JOVIARY, DAYO, NEST WEST, FANCY - BULU BULU (NEW AUDIO)
Posted by NAOMIKADUMA On 3:31:00 PM
MZIGO MPYA TOKA MBEYA KWA TINO MAFIA AKIWA KAWASHIRIKISHA, ARTIST WA MBEYA PIA AMBAO NI JOVIARY, NEST WEST, FANCY, NA DAYO. BONBE MOJA MZIGO. UMEREKODIWA MASHADA INC NA PRODUCER TINNO MAFIA AKIWA NA DAYO. WANAOMBA SUPPORT YAKO MDAU. BIG UP KWAO PIA.
JACKMEDIA FT SILLEY SOON (UPDATE INFO)
Posted by NAOMIKADUMA On 3:22:00 PM
Friday, April 18, 2014
ARTIST WA KUSINI SASA KUPIGA SHOW MPAKA DAR. (UPDATE INFO)
Posted by NAOMIKADUMA On 4:53:00 PM
PAUL PILL KUJA NA T-SHIRT KALI MTAANI (UPDATE INFO)
Posted by NAOMIKADUMA On 4:38:00 PM
SHAI - NIKUPE NINI (NEW AUDIO)
Posted by NAOMIKADUMA On 3:08:00 PM
TANANZIA TO NIGERIA KEVOO HARD FEAT T MOST FROM NIGERIA (UPDATE INFO)
Posted by NAOMIKADUMA On 2:51:00 PM
![]() |
| KEVOO HARD ARTIST TOKA IRINGA AKIWA NA MWANADADA T MOST TOKA NIGERIA AMBAE ANASADIKIKA KUA ASHA FANYA NAE TRACK HIO. |
![]() |
| HIZI NI BAADH YA STATUS ZILIZOTUPWA INSTAGRAM KUTHIBITISHA HILO. |
![]() |
Kutokana na sasa wasanii tunaitaji sana kufanya music kimataifa Mimi nimeamua kuanza na Nigeria yote kufikisha kazi zangu mbali zaidi Kevoo hard Feat Tmost from nigeria coming soon. |
G WYDER - NAFANYA VYEMA (NEW AUDIO)
Posted by NAOMIKADUMA On 2:49:00 PM
MICHANO LUKUKI FT ONORY - AZIMIO LAKIJIJI (NEW AUDIO)
Posted by NAOMIKADUMA On 2:36:00 PM
WITNESS MWAIJAGA KAINGIZA DVD YA NYIMBO ZAKE 12 MTAANI. (VIDEO)
Posted by NAOMIKADUMA On 2:16:00 PM
WITNESS MWAIJAGA MZAWA WA TUKUYU MBEYA, KATANGAZA KUPATIKANA KWA DVD YAKE YENYE NYIMBO ZAKE 12 KWA BEI NAFUU. WITNESS NI MMOJA KATI YA WANADADA WAKALI SAANA KATIKA MUZIKI WA MIONDOKO YA HIPHOP TANZANIA, AMBAE ALIWEZA DHIHIRISHA TANGU KWENYE MASHINDANO YA COCACOLA POP STAR YALOFANYIKIA SOUTH AFRICA MWAKA 2004, AKIWA NI MMOJA WA WANAKUNDI LA WAKILISHA LIKIWA NA LANGA (MAREHEMU), SHAA, NA YEYE WITNESS WAKIWAKILISHA TANZANIA. DVD HIO IMEBEBA WIMBO KAMA HOI YA ENZI ZA WAKILISHA, ZERO AMBAYO KAMSHIRIKISHA FID Q, SAFARI, ATTENTION, NA KADHA WA KADHA. KUIPATA DVD HIO KWA BEI YA JUMLA NA REJAREJA WAWEZA MPATA WITNESS KWA NAMBA 0753320009 AU 0717757582. POPOTE ULIPO TANZANIA WASILIANA KUPATA COPY YAKO.
MOJA YA VIDEO INAYOPATIKANA KWENYE DVD HIYO, ITAZAME HAPA BUREEE,
http://youtu.be/Ofv1YkVP8-s
Monday, April 7, 2014
YALIOJIRI MAFINGA TAREHE 06/04/2014 (UP DATE INFO)
Posted by NAOMIKADUMA On 4:01:00 PM
![]() |
| SECHOLELA AKIWA NA NA FURAHA BAADAA YA KUKABIDHIWA SIM YAKE MPYA KAMA MSHINDI WA MWEZI NA EDDO BASHIR. TUKUTANE TENA TAR 13 JUMAPILI IJAYO PALE PALE MKOMBWE KUANZIA SAA 06:00 MCHANA. |
YALOJIRI TAMASHA LA TULIZANA IRINGA 05/04/2014 ( UPDATE EVENT)
Posted by NAOMIKADUMA On 10:35:00 AM
Saturday, March 29, 2014
Dee Gozba on LOCATION. (UP DATE NEWS)
Posted by NAOMIKADUMA On 10:17:00 PM
![]() |
| Up coming mkari toka Mafinga Iringa Tayari Kisha ingia Location Kufanya video ya track yake Kama wewe chini ya Alama Xp Production. |
Thursday, March 27, 2014
Emmo da pro - My Body (NEW AUDIO)
Posted by NAOMIKADUMA On 4:09:00 PM
Mpili Square - Sina Dough (NEW VIDEO)
Posted by NAOMIKADUMA On 3:56:00 PM
Mpili Square nia artist mpya toka iringa, kashuka na track iitwayo SINA DOUGH ilofanywa na Rebith corporation chini ya Dr Kagusa Adrew. Iringa na mikoa ya kusini inazidi kua siku hadi siku kwa sanaa ya muziki. Big Up Kagusa chini ya Rebith Corporation kwa video saafi. SUPPORT YAKO NDO KILA KITU MDAU.
Tuesday, March 25, 2014
Di Wise Ft GKifaa - Malaika ( NEW AUDIO)
Posted by NAOMIKADUMA On 8:52:00 PM
DI Wise ANAUWEZO MKUBWA SAANA KATIKA UTUNZI WA MASHAIRI NA KUFLOW. FANYA KAMA UNASKILIZA TRACK YAKE HAPA. ANAOMBA SUPPORT YAKO MDAU. KWA MAONI NA USHAURI KWA DI WISE MCHEKI HAPA 0717009774
SAMPAMBA ft MKWAWA, OB, GARDEE, RASCO J, CLOUD 9, JACK MEDIA, JOSH KILLER, MWENENDOX, MAC & MABAWA - KARIBU IRINGA (NEW AUDIO)
Posted by NAOMIKADUMA On 8:29:00 PM
KARIBU IRINGA NI TRACK ILIYO FANYIKA CHINI YA SAMPAMBA MUIC INAYOZUNGUMZIA MJI WA IRINGA NA KUITANGAZA IRINGA DUNIANI KWOTE. TRACK HII WAMESHIRIKA WASANII ZAIDI YA 10 KAMA IFUATAVYO, SAMPAMBA ft MKWAWA, OB, GARDEE, RASCO J, CLOUD 9, JACK MEDIA, JOSH KILLER, MWENENDOX, MAC & MABAWA - KARIBU IRINGA
MWAGITO TOKA MAFINGA YATUA NJOMBE RASMI (COMMEDY)
Posted by NAOMIKADUMA On 7:14:00 PM
![]() |
| Serious Comedy iliyofanyika Mafinga Chini ya Alama Xp Production sasa yaingia Mkoa mpya Njombe kwa bei ya 5000/- tu. Mi nisha daka nakala yangu tayar kama njia yakuunga mkono harakati za kuendeleza vipaji Mikoa ya kusini. |
STANNA - The Best rapper from Mbeya, (News)
Posted by NAOMIKADUMA On 12:29:00 AM
![]() |
| Add caption |
Monday, March 24, 2014
NTWA aka (Ambo J) - USIKU MWEMA (NEW AUDIO)
Posted by NAOMIKADUMA On 11:34:00 PM
Msanii -NTWA aka (Ambo J) Track - USIKU MWEMA Producer - Tony Studio - 241 Record Pugu Kajiungeni Dar phone namba -0719322577 NIKIPAJI TOKA MBEYA, KWASASA KINAPATIKANA KIWALANI DAR KATIKA MIHANGAIKO YAKIMAISHA. ANAOMBA SAANA SUPPORT YAKO MDAU.
Saturday, March 22, 2014
Mac ft Mkwawa - Kwasababu Yao (NEW VIDEO)
Posted by NAOMIKADUMA On 3:51:00 PM
VIDEO HATAARE SAANA TOKA EMAGINATION AUDIO CHINI YA SILEEY SAMPAMBA MUSIC. BIG UP KWA MAC NA MKWAWA PIA. MEEEN ANAEBISHA VIPAJI KUSINI SI NEXT LEVEL ATAZAME KICHUPA HIKI. MIAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAH.
Isack ft Hamis k - Namtafuta ( NEW AUDIO)
Posted by NAOMIKADUMA On 3:21:00 PM
ANAHITAJI SAANA SUPPORT YAKO MDAU, KWA USHAURI NA MAONI FANYA KAMA UNAMCHEKI ISACK HAPA 0683326275 or 0762326275.
Cammy ftr Binner - Wabanie (NEW AUDIO)
Posted by NAOMIKADUMA On 3:11:00 PM
Anatwa cammy ammshirikisha mwanadada anaitwa binnar......Toka songea wimbo umetengenezwa na cyn material sauti imewekwa na bernado /.....studio don music Ruvuma songea.
Subscribe to:
Posts (Atom)


























































