KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Friday, April 18, 2014

PAUL PILL KUJA NA T-SHIRT KALI MTAANI (UPDATE INFO)

MPIGANAJI TOKA ILULA IRINGA BUT KWA SASA DAR, KATENGENEZA T-SHIRT ZA IRINGA IS MA HOOD, ZA RANGI TOZAUTI TOFAUT, ZINADONDOKA MTAANI SOON KWA MTONYO WA 20000/- JINSI YAKUZIPATA NA KILA KITU MTAJUZWA SOON.

0 comments:

Post a Comment