WITNESS MWAIJAGA KAINGIZA DVD YA NYIMBO ZAKE 12 MTAANI. (VIDEO)
WITNESS MWAIJAGA MZAWA WA TUKUYU MBEYA, KATANGAZA KUPATIKANA KWA DVD YAKE YENYE NYIMBO ZAKE 12 KWA BEI NAFUU. WITNESS NI MMOJA KATI YA WANADADA WAKALI SAANA KATIKA MUZIKI WA MIONDOKO YA HIPHOP TANZANIA, AMBAE ALIWEZA DHIHIRISHA TANGU KWENYE MASHINDANO YA COCACOLA POP STAR YALOFANYIKIA SOUTH AFRICA MWAKA 2004, AKIWA NI MMOJA WA WANAKUNDI LA WAKILISHA LIKIWA NA LANGA (MAREHEMU), SHAA, NA YEYE WITNESS WAKIWAKILISHA TANZANIA. DVD HIO IMEBEBA WIMBO KAMA HOI YA ENZI ZA WAKILISHA, ZERO AMBAYO KAMSHIRIKISHA FID Q, SAFARI, ATTENTION, NA KADHA WA KADHA. KUIPATA DVD HIO KWA BEI YA JUMLA NA REJAREJA WAWEZA MPATA WITNESS KWA NAMBA 0753320009 AU 0717757582. POPOTE ULIPO TANZANIA WASILIANA KUPATA COPY YAKO.
MOJA YA VIDEO INAYOPATIKANA KWENYE DVD HIYO, ITAZAME HAPA BUREEE,
http://youtu.be/Ofv1YkVP8-s
0 comments:
Post a Comment