KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Thursday, June 30, 2016

Dr Beny - Aje Cover (Ally Kiba) | Audio

Unataarifa kwamba kunawatu wanauwezo wa kuimba Vocal za level za akina Ally kiba mikoani na hawatambuliki? kukudhihihirishia hili, Kutana na cover ya wimbo wa Ally Kiba Aje, ilofanywa na Mtangazaji wa kituo kimoja wapo cha radio, na mwanamuziki pia Dr Beny toka Njombe Tanzania. Pakua hapo chini kwa...

Wednesday, June 29, 2016

Nimekusogezea Wasifu wa Mwanamuziki Wa Hiphop Tz - Wakazi | Biography

BIOGRAPHY Wakazi started rapping at young age in Tanzania. In high school, he became popular with his performances during talent shows. He never took it seriously because of pressure from family to pursue other things. It was until he moved to Chicago in pursuit of the American Dream, where his...

Tuesday, June 28, 2016

Monday, June 27, 2016

2n Mkulima Bishow - Sinema Remix /Audio

MWANA MUZIKI TUEN LWILLA, MAARUFU KWA JINA LA 2N MKULIMA BISHOW, AMEREJEA RASMI NA WIMBO WAKE MPYA ALIO URUDIA TENA KWA JINA LA SINEMA. WIMBO HUO UMEFANYIKIA STUDIO ZA CHRISS REC ZILIZOKO MAFINGA IRINGA, CHINI YA PRODUCER FIDE. UMEACHIWA RASMI TANGU TAREHE 27/06/2016. PIA KWA UPANDE MWINGINE 2N...