KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Monday, June 27, 2016

2n Mkulima Bishow - Sinema Remix /Audio


MWANA MUZIKI TUEN LWILLA, MAARUFU KWA JINA LA 2N MKULIMA BISHOW, AMEREJEA RASMI NA WIMBO WAKE MPYA ALIO URUDIA TENA KWA JINA LA SINEMA. WIMBO HUO UMEFANYIKIA STUDIO ZA CHRISS REC ZILIZOKO MAFINGA IRINGA, CHINI YA PRODUCER FIDE. UMEACHIWA RASMI TANGU TAREHE 27/06/2016. PIA KWA UPANDE MWINGINE 2N AMESEMA YUPO KATIKA MAANDALIZI MAZITO YAKUANDAA ALBUM YAKE AMBAYO ANATARAJI IACHIA MWAKA HUU. KWA MAWASILIANO ZAIDI NA 2N UNAWEZA MPATA HAPA 0769981278 KUUPAKUA WIMBO HUU BOFYA HAPA >>>

https://my.notjustok.com/track/104788/2n-mkulima-bishow-sinema

0 comments:

Post a Comment