Unataarifa kwamba kunawatu wanauwezo wa kuimba Vocal za level za akina Ally kiba mikoani na hawatambuliki? kukudhihihirishia hili, Kutana na cover ya wimbo wa Ally Kiba Aje, ilofanywa na Mtangazaji wa kituo kimoja wapo cha radio, na mwanamuziki pia Dr Beny toka Njombe Tanzania. Pakua hapo chini kwa kubofya kitufe chekundu ili kuusikiliza.
KUUSIKILIZA ONLINE BOFYA HAPA CHINI KWENYE KITUFE CHA PLAY.
Thursday, June 30, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment