WAKAZI AOMBA KUPIGIWA KURA KATIKA KINYANG'ANYIRO CHA TUZO ZA KORA 2016.
MWANAMUZIKI WA MIONDOKO YA HIPHOP TANZANIA,AJULIKANAE KWA JINA LA WAKAZI, AKA SWAGGER BOVU BEBERU, ACHAGULIWA KUINGIA KATIKA KINYANG'ANYIRO CHA MWANA MUZIKI BORA WA TUZO ZA KORA 2016. YAFUATAYO NIMAELEKEZO JINSI YA KUMPIGIA KURA.
TUMA "Kora 123" kwenda +248984000 kumpigia Kura Wakazi (@wakazimusic) kama #BestHipHopAct Kwenye #Kora2016
Unaweza kupiga Kura mara nyingi uwezavyo ili kuleta ushindi Nyumbani. Kila sms itakugharimu 137 Tsh. Zoezi la upigaji kura limeanza tangu tar 24/01/2016 na kwa mujibu wa wakazi mwenyewe linatarajiwa kwenda kwa wiki 5 zaidi.
#SupportYourOwn #Patachimbika
TIZAMA HAPA VIDEO FUPI YA WASANII ANAO CHUANA NAO KATIKA KATEGORY MOJA AFRICA.
0 comments:
Post a Comment