KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Thursday, October 29, 2015

Wednesday, October 21, 2015

Sunday, October 18, 2015

NASSER FT NAKAAYA - MAENDELEO ( New Audio )


Kupakua wimbo wa Nasser akimshirikisha @nakaayasumari katika ngoma kwa jina " Maendeleo" itayokuwa katika Mixtape Project toka @noizmekah na kwa mahojiano zaidi check na @nasser_gullam kwa nambari +255 654 606 122 powered by @vmgafrica @mkitodotcom www.vmgafrica.com @defxtro #vmgafrica #SupportYourOwn

SUPER DIVERS FT TUSIFE MOYO ( New Audio )


kupakua wimbo wa kundi chipukizi "Super Divers na mwanadada Nancie katika wimbo wao Bongoflava Category kwa jina "Tusife Moyo" na kwa mahojiano/mawasilano zaidi check nao kwa nambari +255 658 644 604 au +255 659 577 692 powered by @vmgafrica @mkitodotcom www.vmgafrica.com @defxtro #vmgafrica #SupportYourOw

UNIQUE GUYS - APPLE ( New Audio )


kupakua wimbo wa kundi chipukizi kwa jina "Unique Guys" na ngoma yao Bongo Flava Category kwa jina "Apple" na kwa mahojiano/mawasilano zaidi check nao kwa nambari +255 752 607 998 powered by @vmgafrica @mkitodotcom www.vmgafrica.com @defxtro #vmgafrica #SupportYourOwn

DOCUMENTARY: KUTANA NA VIDEO FUPI INAYO ELEZEA UMUHIMU WAKUJIKINGA NA MAAMBUKIZI YA VVU.


Muhimu Filamu, ni filamu inayohusu maisha ya vijana na mahusiano ya kimanzi dhidi ya matumizi ya kinga (kondom). Na pia imetengenezwa kwa lengo la kuimiza vijana katika matumizi ya kinga ili kupunguza maambukizi ya virusi vya ukimwi yaani VVU. Kampaini ii inatwa MUHIMU CAMPAIN, ni kampendi endelefu kupitia filamu na mafundisho Dhidi ya maambukizi ya VVU. kama umeguswa na wataka kusaidia kampaini ii kufika mbali zaid wasiliana nasi kupia galaxyfilamu@gmail.com KUTANA NA SOUND TRACK ILOTUMIKA KWENYE FILAMU HIO KWAKUBOFYA NAKUSIKILIZA HAPA CHINI.

Saturday, October 17, 2015

Monday, October 12, 2015

VANESSA MDEE - NEVER EVER ( New Video )


SIKUMO0JA BAADA YA MWANAMUZIKI VANESSA MDEE MAARUFU KWA JINA LA V MONEY, KUSHINDA TUZO ZA AFRIMA NCHINI MAREKANI. KAACHIA VIDEO YA WIMBO WAKE MPYA UNAYOKWENDA KWA JINA LA NEVER EVER. UNGANA NAMI KWA DAKIKA 3:45 KUTIZAMA VIDEO HII KWAKUBOFYA PLAYER HAPA CHINI.

Friday, October 9, 2015

CBH - SEREBUKA (New Audio )


Hello!The new song from CBH SEREBUKA. The song was recorded in Seductive Records under the producer Chrixtone The Melody. Another Sampa Music Song. Enjoy it and share. Much love! Peace Find CBH on :- Instagram:- @cbhhalawa @cbhofficl Facebook:- Cbh Halawa Cbh Officl Twitter:- @CBHHalawa @CBHOfficil Youtube:- Cbh Halawa Cbh Halawa | | | | | | | | | | | Cbh HalawaHome Best of YouTube Popular on YouTube Music | | | | View on www.youtube.com | Preview by Yahoo | | | | | SoundCloud.CBH Officialhttps://soundcloud.com/cbhofficial Reverbnation:- CBH Official CBH Official | Singer Songwriter from Dar es Salaam, TZ | | | | | | | | | | | CBH Official | Singer Songwriter from Dar es Salaam, TZSinger

Tuesday, October 6, 2015

SKILL NDAGE FT DRA, LADY TANA & AKILIMALI - TANZANIA ( New Audio )


kupakua wimbo kwa jina "TANZANIA" wa msanii "Skill Ndage akiwashirikisha Lady Tana,Akilimali pamoja na Producer Dra, na kwa mawasilano/mahojiano zaidi check nae kwa nambari +255 754 918 457 powered by @vmgafrica @mkitodotcom www.vmgafrica.com @defxtro #vmgafrica #SupportYourOwn Nyimbo zingine HAPA https://mkito.com/song/ni-pesa-ft-nywele-boy-dra/16564

JAMBO SQUAD, J-DEAL, RUFF-G, YOUNG OMEGA - KANUNA ( New Audio )


kupakua Refix ya (My Woman) wa JamboSquad Young Omega, Ruff G, J Deal, kwa jina "KANUNA" na kwa mawasiliano/mahojiano zaidi check nao kwa nambari +255 762 164 241 & +255 653 610 249 7powered by @vmgafrica @noizmekah #vmgafrica @man_batoo @j4cinyo @odiijambo @djhaazu @jambosquad @chaliijambo @mkitodotcom @defxtro #SupportYourOwn