KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Wednesday, October 21, 2015

B2K - DIMAYA ( New Audio )


NIMEKUSOGEZEA WIMBO MPYA WA MWANAMUZIKI B2K TOKA MAKAMBAKO NJOMBE KWA MARA NYINGINE TENA. WIMBO UMEFANYIKA KATIKA STUDIO ZA TOP MAGIC SOUND CHINI YA PRODUCER ECKO IPOGORO IRINGA.

1 comment:

  1. Nimeipenda kazi yako ya Dimaya B2K tangu naickia kwa mara ya kwanza nikiwa likizo kutoka kwa Eddo
    Naomba peleka ata studio na vituo vya redio vikubwa ili tuweze kuupeperusha mziki wa nyanda za juu kusini

    ReplyDelete