DOCUMENTARY: KUTANA NA VIDEO FUPI INAYO ELEZEA UMUHIMU WAKUJIKINGA NA MAAMBUKIZI YA VVU.
Muhimu Filamu, ni filamu inayohusu maisha ya vijana na mahusiano ya kimanzi dhidi ya matumizi ya kinga (kondom). Na pia imetengenezwa kwa lengo la kuimiza vijana katika matumizi ya kinga ili kupunguza maambukizi ya virusi vya ukimwi yaani VVU.
Kampaini ii inatwa MUHIMU CAMPAIN, ni kampendi endelefu kupitia filamu na mafundisho Dhidi ya maambukizi ya VVU.
kama umeguswa na wataka kusaidia kampaini ii kufika mbali zaid wasiliana nasi kupia
galaxyfilamu@gmail.com
KUTANA NA SOUND TRACK ILOTUMIKA KWENYE FILAMU HIO KWAKUBOFYA NAKUSIKILIZA HAPA CHINI.
0 comments:
Post a Comment