INDEPENDENT GRADUATES DEVELOPMENT ORGANISATION ( General News )
IGDO ni taasisi huru ya wahitimu na wanafunzi wa vyuo vikuu katika madaraja yote inayojihusisha na shughuli mbalimbali za maendeleo. taasisi hii inahusisha watu wenye vipaji mbalimbali kama wasanii, watayarishaji wa kazi za sanaa wanahabari na wahitimu wakawaida. utendajiji kazi wa taasisi hii umeshaanza maeneo malimbali nchini kama MOROGORO, MBEYA , IRINGA, NA UKEREWE. taasisi hii inawakaribisha wanavyuo wote kujiunga ili kusukuma gurudumu la maendeleo katika nyanja zote kama kilimo na biashara, ujasiliamali, uhifadhi wa mazingira, na afya. taasisi inaomba mchango wako ukiwa kama mwanahabari, mwanazuoni, mwanasiasa au mwananchi wa kawaida kuweza kutoa taarifa kwa jamii kuhusu taasisi hii ili kuweza kufikia malengo yanayoadhimiwa
0 comments:
Post a Comment