KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Monday, March 2, 2015

Dj Choka kuja na NITALALA UZEENI 13/3/2015...


Kama ilivyo ada Dj Maarufu Nchini Dj Choka,kutoa nyimbo zake kwa kuwaimbisha wasanii kadhaa nchini,Hivi punde anataraji tua Mtaani na ngoma mpya Itakayokwenda kwa jina la NITALALA UZEENI. Hayo yameweza dhihirika hii leo Baada ya Dj huyo kuweka kipande kidogo cha video kwenye Ukurasa wake wa Istagram @chokadj Kikionyesha wakiwa Studio za A.m Records,wakiifanya Track hio ambaayo inategemewa kuingia mtaani tarehe 13/3/2015 hii ni baada ya kipande hicho cha video kua kimeandikwa tarehe hio. Ungana nami hapa chini kukitizama. HII NDIO ILIKUA COMMING SOON YALEO. KAMA NAWEWE UNA CHECHOTE UNACHOTARAJI INGIZA MTAANI NAKUSHARE NAJAMII CHASANAA TUTUMIE HAPA MOJA KWA MOJA TUTAKIRUSHA, selengakaduma@gmail.com Ama Simu Namba 0757363005

0 comments:

Post a Comment