KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Sunday, March 1, 2015

Utengenezaji wa video mpya “SIMAMA NAMI” picha zake hizi hapa

Baada ya umoja wawasanii wanawake wakiwemo waigizaji nawatangazaji pamoja na wanamuziki wakike Tanzania kufanya Nyimbo yao yapamoja yakupinga unyanyasaji wakijinsia kwa baadh ya watanzania wakiwemo walemavu wangozi, sasa wameanza mkakati wakuandaa video yao yapamoja iitwayo SIMAMA NAMI. Baadhi ya picha mnato toka location, zipo hapa.














HII NDIO ILIKUA COMMING SOON YALEO. KAMA NAWEWE UNA CHECHOTE UNACHOTARAJI INGIZA MTAANI NAKUSHARE NAJAMII CHASANAA TUTUMIE HAPA MOJA KWA MOJA TUTAKIRUSHA, selengakaduma@gmail.com Ama Simu Namba 0757363005

0 comments:

Post a Comment