KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Saturday, February 28, 2015

LEIKIZ FT ORDINALLY - BOUNCE LIKE THIS ( New Audio )

Bofya HAPA https://mkito.com/song/bounce-like-this-ft-ordinally/13296 kupakua wimbo wa "Leikiz featuring Ordinally wa Jambo Squad" kwa jina "Bounce Like This" ikiwa ni HipHop Bounce category toka @noizmekah chini ya @defxtro, kwa mahojiano/mawasilano zaidi check na LEIKIZ kwa nambari +255 712 685...

YUZZO WATENGWA - MC ( New Audio )

Hii ni release ya kwanza kubwa kutoka kwa Yuzzo kutoka kundi la Wantengwa tangia ahamie nchini Norway kuendeleza muziki wake. Pamoja na kuwa sasa anafanya muziki wa Live kwa kiasi kikubwa bado hajasahau alikotoka na hapa anakuletea wimbo wake MC (Emcee) huku akikumbushia alikotoka kwenye roots zake...

JAMBO SQUAD - SHIGIDI ( New Audio )

Weekend Imewadia,Kanda Mseto ya Jambo Squad Inaendelea Kujaa Ngoma na Ijumaa Hii mashabiki wanajipatia goma la kubang nalo Weekend,ni Jambo Squad Version ya wimbo ule wa P Square-Shekini na umerekodiwa for FUN mahususi kwajili ya Mashabiki wa Watoto wa Bibi,Bofya HAPA https://mkito.com/song/shigidi/13275...

Friday, February 27, 2015

KHALIGRAPH JONES - SONGEA ( New Audio )

Msanii maarufu wa Hip Hop kutoka nchini Kenya, Khaligraph Jones anakuletea wimbo wake mpya SONGEA ambao kwa sasa umeshika chati za Kenya. Khaligraph ni msanii anayetambulika sana KENYA na pia amewahi kuwashirikisha wasanii wakubwa wa nchini Kenya pamoja na nje ya Kenya. ...

HONE CLASSIC - WE MAMA ( New Audio )

Kupakua wimbo wake kwa jina "We Mama" ikiwa ni BongoFleva Category toka Noizmekah Studios chini ya @defxtro,kwa mawasilano/mahojiano zaidi check na HONE Classic kwa nambari +255 767 861 349 powered by @vmgafrica www.vmgafrica.com @noizmekah #SupportYourOwn #vmgafrica ...

JITI TARAAA FT CHRISS JAY - WANGAPI ( New Audio )

PAKUA WIMBO WA JITI TARAA FT CHRISS J-WANGAPI KUTOKA DM RECORDS ARUSHA CHINI YA PRODUCER DR. REGGY KWA MAWASILIANO NA JITI TARAA #INSTAGRAM @jiti_taraa_msuya #FACEBOOK jiti taraa flows kateta #CALL and WATSAPP +255717060121 #supportafricanartist...

VIDEO YA FID Q KUINGIA MTAANI RASMI TAREHE 1 MARCH ( Coming Soon )

Mwanamuziki Nguli wa Hip Hop Tanzania Fareed Kubanda aka Fid Q, anataraji Ingiza mtaani video ya Wimbowake uitwao Bongo Hip Hop ilofanywa na Director Nisher Jumapili ya tar 1/3/2015. Uzinduzi wa video hio unataraji fanyika katika ukumbi wa club Billz jiji Dar es Salaam. Hayo yameweza thibitika baada...

HATIMAE CHID BENZ AACHIWA HURU NA MAHAKA KWA KESI YA MADAWA YAKULEVYA.

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu Jana imemwachia mwanamuziki Rashid Makwilo 'Chid Benz' baada ya kulipa faini ya sh. 900,000 kufuatia kukamatwa akiwa na madawa ya kulevya. ChidBenz alikamatwa mwaka jana katika Uwanja wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyere Jijini Dar es Salaam akiwa na madawa yakulevya...

PAKUA HAPA MIXTAPE ( Kanda Mseto ) YA P THE MC & ZAIID

P The MC pamoja na ZAiiD leo wameachia kanda mseto mpya kwenye tovuti ya Mkito. Sasa unaweza kupakua mix tape hiyo ya @pthemc na @zaiidyao inayoitwa "MWENGE KIWALANI" Kwa kuingia kwenye link hii hapa https://mkito.com/artist-profile/p-the-mc-na-zaiid/1...

IZZO B FT SHAA - KIDAWA ( New Video )

Official Music video for Kidawa performed by Izzo Bizness featuring Shaa, directed by Nick Dizzo of Focus Films,Tanzania . Produced by Dupy at Uprise Music and Mastered by Master J at MJ records. in Dar es Salaam, Tanzania. You can also Listen and download Kidawa Audio here http://bit.ly/1FNXhjM...

Thursday, February 26, 2015

TANZANIA FEMALE ARTIST - SIMAMA NAMI ( New Audio )

Huu ni wimbo maalumu ulioimbwa na wasanii wa kike kutoka TANZANIA, wimbo huu unahusu janga la mauaji la ALBINO nchini Tanzania na duniani kote. Wimbo umeimbwa na wasanii hawa 1. Kajala (Bongo Movie), 2.Shamsa Ford (Bongo Movie), 3. Keisher (Bongo Flava Artist) 4. Mwasiti (Bongo Flava), 5. Linah...

Tuesday, February 24, 2015

CHELLA FT G TONA - NINGEZALIWA DAR ( New Audio )

Greetings to every body,today is ma birthday and i have decided to introduce my new track which is called ningezaliwa dar mixed by necka beat from mkubwa na wanawe studio and beat produced by Geof master from tongwe rec.i'm goin by the name of CHELLA MICHANO LUKUKI,+255764191674 is my contact.Your...

Wednesday, February 18, 2015

KILICHOMSIKITISHA SANA CBH SIKU CHACHE KABLA YA SHOW YAKE ITAKAYOFANYIKA JMOS TAR 21.02

SIKILIZA HAPA KISA CHOTE... Me&MyFrIeNdS Chatrumz!!! Brings u... THE NIGHT OF MUSIC!!!! Partin, Clubbin, DvJ Mixing, Stars Special appearance & more!!! We gonna be dancing all night long... The show will be hosted by CBH aka Sampa Music King!! Jumamosi hii! Tarehe 21!! Seronera...

Saturday, February 14, 2015

Thursday, February 12, 2015

Monday, February 9, 2015

Friday, February 6, 2015

Wednesday, February 4, 2015

Monday, February 2, 2015

STORRY: UJIO WA ALBUM MPYA YA NELLY B 2015.

FAHAMU UJIO MPYA WA ALBUM YAKWANZA YA NEELLY B AMBAYO INATARAJI TOKA MWAKA HUU 2015. #‎FAHAMU‬, Baada ya kufanya vizuri na wimbo wake uliomtambulisha katika sanaa ya Hip Hop nyanda za juu kusini, rapper na mtangazaji wa kituo cha radio cha nuru fm mkoani iringa ndugu @NellyBee [nelly calocy msamilla]...