KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Friday, February 27, 2015

VIDEO YA FID Q KUINGIA MTAANI RASMI TAREHE 1 MARCH ( Coming Soon )


Mwanamuziki Nguli wa Hip Hop Tanzania Fareed Kubanda aka Fid Q, anataraji Ingiza mtaani video ya Wimbowake uitwao Bongo Hip Hop ilofanywa na Director Nisher Jumapili ya tar 1/3/2015. Uzinduzi wa video hio unataraji fanyika katika ukumbi wa club Billz jiji Dar es Salaam. Hayo yameweza thibitika baada ya msanii huyo kuandika kwenye ukurasa wake wa Instagram "Ok .. Deni kwisha..!! Billz ndiko kioo kitaonekana kwa mara yakwanza.. 1/3/15 <- save the date," Hiyo inataraji kua nivideo yake yakwanza yawimbo wake mwenyewe tangia ile ya SIHITAJI MARAFIKI Iliyotoka zaidi ya miaka Miwili iliyopita. Ungana nami hapa kila siku ili kua wakwanza kupata Coming Soon za Kila kitu. Kama Ni mwanasanaa na Una Coming Soon yeyote ama Update yeyote unaweza tutumia hapa selengakaduma@gmail.com ASANTE NA KARIBUNI

0 comments:

Post a Comment