KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Monday, April 21, 2014

TINO MAFIA FT JOVIARY, DAYO, NEST WEST, FANCY - BULU BULU (NEW AUDIO)

MZIGO MPYA TOKA MBEYA KWA TINO MAFIA AKIWA KAWASHIRIKISHA, ARTIST WA MBEYA PIA AMBAO NI JOVIARY, NEST WEST, FANCY, NA DAYO. BONBE MOJA MZIGO. UMEREKODIWA MASHADA INC NA PRODUCER TINNO MAFIA AKIWA NA DAYO. WANAOMBA SUPPORT YAKO MDAU. BIG UP KWAO PI...

Friday, April 18, 2014

ARTIST WA KUSINI SASA KUPIGA SHOW MPAKA DAR. (UPDATE INFO)

DEE GOSBA ARTIST TOKA MAFINGA IRINGA MWENYE WIMBO MKALI UJULIKANAO KWA JINA LA KAMA WEWE AMEPATA SHAVU LA KUPIGA SHOW SKUKUU YA PASAKA GADAFI SQUARE, YOMBO BUZA. SHOW HIO INATARAJI FANYIKA JUMAPILI YA TAREHE 20/04 MWAKA HUU. HILI NDIO TANGAZO LA SHOW YAO...

TANANZIA TO NIGERIA KEVOO HARD FEAT T MOST FROM NIGERIA (UPDATE INFO)

KEVOO HARD ARTIST TOKA IRINGA AKIWA NA MWANADADA T MOST TOKA NIGERIA AMBAE ANASADIKIKA KUA ASHA FANYA NAE TRACK HIO. HIZI NI BAADH YA STATUS ZILIZOTUPWA INSTAGRAM KUTHIBITISHA HILO. Kutokana na sasa wasanii tunaitaji sana kufanya music kimataifa Mimi nimeamua kuanza na Nigeria yote kufikisha...

WITNESS MWAIJAGA KAINGIZA DVD YA NYIMBO ZAKE 12 MTAANI. (VIDEO)

WITNESS MWAIJAGA MZAWA WA TUKUYU MBEYA, KATANGAZA KUPATIKANA KWA DVD YAKE YENYE NYIMBO ZAKE 12 KWA BEI NAFUU. WITNESS NI MMOJA KATI YA WANADADA WAKALI SAANA KATIKA MUZIKI WA MIONDOKO YA HIPHOP TANZANIA, AMBAE ALIWEZA DHIHIRISHA TANGU KWENYE MASHINDANO YA COCACOLA POP STAR YALOFANYIKIA SOUTH AFRICA...

Monday, April 7, 2014

YALIOJIRI MAFINGA TAREHE 06/04/2014 (UP DATE INFO)

WANACHAMA WA FILAMU, MUZIKI, NA WAJASILIA MALI TOKA MAFINGA WAMEKUTANA TARE 06/04 2014 MAFINGA - MKOBWE KIKIWA NI KIKAO CHAO CHA PILI CHA KUPANGA MIKAKATI MBALIMBALI YA KUPAMBANA NA CHANGAMOTO ZA KIMAENDELEO KATIKA KILA TASNIA. BLOGGER SELENGA KADUMA AKIWA NA WENYEVITI WA VIKUNDU, KATIKATI MWANZILISHI...

YALOJIRI TAMASHA LA TULIZANA IRINGA 05/04/2014 ( UPDATE EVENT)

MUZIKI ULIHUSIKA KWA ASILIMIA ZOTE. DJ AKIFANYA YAKE KWA MASHINE EDDO BASHIR AKIWA NA FID Q KWA JUKWAA WAKIFANYA YAO. EDDO BASHIR KAMA MC AKIWAWEKA SAWA MASHABIKI SAMORA ILIFURIKA WATU KAMA UNAVYOONA HAPA INGAWA MVUA ILIHUSIKA PIA, LAKINI UMATI HAUKUJALI. JUKWAA LA EBONY FM LILIHUSIKA...