KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Thursday, January 30, 2014

DEE GOZBA ft VEDASTO - KAMA WEWE

Dee Gozba, Artist Mchanga anae kuja kwa kasi, toka Mikoa ya nyanda za Juu Kusini, akiiwakilisha Mafinga. Akiwa kama Mdogoake na Jay Mutta anakuja, na Track iitwayo Kama Wewe, alio mshirikisha Vedasto. Kwasasa Yupo Dar es salaam Kimasomo zaidi But anaomba msaada wenu wadau kwa maoni Ushauri kwenye tasnia...

Wednesday, January 29, 2014

NAS WAKITAA FT CHIBWA - MONEY ON MA MIND

Anajulikana kama Nas Wakitaa, Huku jina lake halisi likiwa Nasibu Luvanda, Tokea Mafinga Iringa, Ingawa kwa sasa Husling anafanyia Dar, Amekuja na Traki Mpya Ijulikanayo kama MONEY ON MA MIND Ambayo kamshirikisha CHIBWA. Anaomba saana Support yako Mdau kama. Zaidi chungulia Track yake hapa...

JOVIARY FT BENADO - USINIWEKEE HILA

Joviary ni Artist Anaetokea mbaye anakuja, kwa kasi zaidi kwenye gem na nyimboyake Iitwayo USINIWEKEE HILA Chini ya Tabasam Music. Amejaliwa kua na sauti nzuri, ni mwenye kipaji kuanzia utunzi mashairi mpaka Vocal. Mtaani kaanza na kazi hii kama kaziyake ya kwanza, Na mpaka leo ana kazi nyingine Mpya...

Sunday, January 26, 2014

Sunday, January 5, 2014

MIKE TEE aka MNYALU KUJA NA MIKAKATI MIPYA YA KIMUZIKI 2014.

Baada ya Kimya kingi Mwana Mziki Mkongwe Wa Gem la Kusini Mike Tee, aka Mnyalu, Afunguka na Mkakati wake mpya wa Kimuziki, Hii ni baada ya kuachi nyimbo yake Mpya ujulikanao kama Uliniona Sina Maana,  alofanya na JumaNature aka Kiroboto, ambayo Imeleta Taswira Kubwa saana Na mpya katika Maskio...

HERI YA KRISMAS NA MWAKAMPYA/ PIA KUTIMIZA MWAKA 01 WA MTANDAO HUU KUWA HEWANI.

BLOG YENU YENU YA KIJANJA IMETIMIZA MWAKA MMOJA SASA RASMI TANGU ILIPO ACHIWA HEWANI, TAR 02/01/2013. SHUKRANI ZA DHATI ZIWAFIKIE  Tenya Brown, (blog launch designer and editor)  Emmo da Pro, ( blog advisor) Lusimiko Unyax Kaduma (Blog founder), Dogo Scopy (Blog advisor), James Mtalemwa...