Baada ya Kimya kingi Mwana Mziki Mkongwe Wa Gem la Kusini Mike Tee, aka Mnyalu, Afunguka na Mkakati wake mpya wa Kimuziki, Hii ni baada ya kuachi nyimbo yake Mpya ujulikanao kama Uliniona Sina Maana, alofanya na JumaNature aka Kiroboto, ambayo Imeleta Taswira Kubwa saana Na mpya katika Maskio ya walio wengi na kufanya vizuri katika media mbali mbali. Mwanamziki Huyo kaahidi kua Atakua akitoka na Traki mpya Kila ifikapo Tar 01 ya kila mwezi, na mpaka sasa asha Anza na track Mbili. Anawaomba mashabiki kumuunga mkono kwa harakati zake na pia Mtegemee mambo makubwa katika tasniya ya Muziki hasa mwaka huu 2014. Unalakusema, tutumie maoni yako hapa selengakaduma@gmail.com |
0 comments:
Post a Comment