Joviary ni Artist Anaetokea mbaye anakuja, kwa kasi zaidi kwenye gem na nyimboyake Iitwayo USINIWEKEE HILA Chini ya Tabasam Music. Amejaliwa kua na sauti nzuri, ni mwenye kipaji kuanzia utunzi mashairi mpaka Vocal. Mtaani kaanza na kazi hii kama kaziyake ya kwanza, Na mpaka leo ana kazi nyingine Mpya inayokuja, baada ya hii, Anaomba Saana Msaada wako, wa mawazo, Maoni, Ushauri na Ikiwezekana management. Week Hii Mwishon atakua Mafinga kufanya Video ya wimbowake mwengine Mpya Kwa Ofa Maalum Kutoka Alama Xp Video Production. Unataka Jua zaidi juu ya Artist Huyu Mpya Toka Mbeya? Uscose tembelea hapa mara kwa mara Kila kitu utakipata.
JOVIARY FT BENADO - USINIWEKEE HILA
Posted by NAOMIKADUMA On 5:22:00 PM
Related Posts:
LEIKIZ FT GBLACK - HOOD ( New Audio ) kupakua wimbo wa "Leikiz" akimshirikisha "G black" ngoma kwa jina "Hood" ikiwa ni HipHop Category Toka @noizmekah chini ya @defxtro powered by @… Read More
KADJANITO - SINA MARINGO ( New Audio ) Pakua wimbo mpya wa Kadjanito - Sina Maringo hapa … Read More
MUZUNGU KICHAA FT MALFED - TWAJIACHIA ( New Video ) Mzungu Kichaa ft Malfred-Twajiachia Download Song HERE http://goo.gl/w6kfF3 & Watch the Official Video HERE https://www.youtube.com/watch?v=qS0ta… Read More
G-HOOD - GOOD LIFE ( New Audio ) kupakua wimbo wa G-Hood kwa jina "Good Life" na kwa mawasilano/mahojiano zaidi check na G-Hood kwa nambari +255 769 141 893 powered by @vmgafrica… Read More
JAY STAR - ENUKA ( New Audio ) Kutoka Mombasa kenya tunamleta kwako JAYSTAR akidondosha ngoma yake kali inayoitwa ENUKA. Unaijua ipo katika mahadhi gani? Hebu ipakue uiskilize … Read More
0 comments:
Post a Comment