KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Wednesday, December 31, 2014

ANGEL BENARD - NEED YOU TO RAIGN ( New Gospel Video )

ANGEL BENARD AMEKUA NI MWANAMUZIKI WAINJILI ANAEFANYA MUZIKI WA INJILI KWA STAILI TOFAUTI NA ILIYO ZOELEKA KWA WANII MBALIMBALI NCHINI. AMEWEZA AMSHA HISIA ZA WASIKILIZAJI MBALIMBALI KWA MUZIKI WAKE WAKIWAMO WAKRISTO NAWASIO WAKRISTO KUTOKANA NA STAILI YAKE TOFAUTI TOFAU ANAYOTUMIA KATIKA NYIMBO...

Friday, December 26, 2014

CHELLA FT BECKA - NITAFIKA ( New Audio )

Habari!Poleni na majukumu ya mwaka mzima mpaka sasa tunaelekea kuumalizia.Kwa jina najulikana kama "CHELLA" toka kundi la "MICHANO LUKUKI"Natanguliza shukrani zangu kwa sapoti yenu katika mwaka unaoisha na niwatakieni heri ya christmass na mwaka mpya.Katika kuelekea kuumaliza mwaka nautambulisha...

Tuesday, December 23, 2014

Monday, December 22, 2014

Saturday, December 20, 2014

MJUE MWIGIZAJI WA FILAMU ALIE BADILI MAISHA YAWATU ZAIDI YA 117 MILLION DUNIANI KWOTE ( Makala Maalumu kwa Msimu wa X Mass )

Brian Deacon ndani ya filamu ya "JESUS" Mwaka 1979. Ikiwa leo ni siku chache ambazo zimebakia kuelekea tar 25/12 yakila mwaka ambapo wakristo wote ulimwenguni wanakumbuka kuzaliwa kwa Yesu Kristo kama mkombozi wa ulimwengu, Yesu Kristo aliyekuja duniani takribani miaka 2000 iliyopita.Ukurasa huu...

Friday, December 19, 2014

Thursday, December 18, 2014

ANGEL BENARD - LINDA MOYO WAKO ( New Audio )

LINDA MOYO WAKO ni wimbo wa 9 kutoka kwenye album ya nyimbo 10 NEW DAY ya ANGEL BENARD: "Ni inspirational song ambayo inalenga kuonya na kushauri namna mtu mwenye ndoto au maono fulani yatatimieje. Ni maneno yenye faida kumsaidia mtu namna ya kuishi na watu 'si kila achekae akupenda, tabasamu ni...

909 - NJOO HAPA ( New Audio )

Baada ya mafanikio mbali mbali yakiwemo kuachia Mixtape yao ya kwanza (Here Goes Nothing), na kuperfom kwenye stage mbali mbali kwa mwaka 2014 sasa Mwaka unavyoelekea ukingoni,kundi la muziki 909 wanakuetea wimbo wa kusikiliza na uwapendao msimu huu wa Kristmasi, ikiwa bonus track ya Album yao inayotarajiwa...

Tuesday, December 16, 2014

Friday, December 12, 2014

ANGEL BENARD - DREAMER ( New Gospel Audio )

Wimbo wa 8 Wiki ya 8 kutoka kwenye album ya NEW DAY ya ANGEL BENARD yenye nyimbo 10, unaitwa DREAMER. "I'm letting go, all of my pity parties,I'm building up my life again..yeah... no more hiding behind my fears, I'm standing up, once again." - Angel Benard. Download hapa pamoja na lyrics: ht...

Tuesday, December 9, 2014

ALICHOKIANDIKA AISHA SANDIGA KWA DIAMOND PLATNUMZ ( Storry )

STORRY HII TOKA KWA AISHA SANDIGA ( Mtangazaji Ebony Fm Iringa ) Wow, worth sharing: HONGERA DIAMOND PLATNUMZ! Ngoja niseme kidogo kitu nilichojifunza kwa huyu kijana. Kuna wakati fulani Hezron Michael (Paul Mashauri) aliwahi kuandika kuhusu msanii wa muziki wa bongofleva Diamond akisifia bidii...

MZUNGU KICHAA - TWENDE KAZI ( New Audio )

OFFICIAL PRESS RELEASE Mzungu Kichaa releases his first Swahili single since his award winning debut album Tuko Pamoja. The single titled ‘TWENDE KAZI’ (Let’s Work) is from his EP ‘HUSTLE’ which was released on the 12.12.12. Mzungu Kichaa and P Funk Majani have produced the song. With over...

TEL OMAINO - NIPENDE ( New Audio Coming soon )

Kutoka kipande cha Tunduru one,anaitwa Tel omaino,msanii wa bongo fleva yupo kwenye hatua za mwisho za kuachia ngoma yake mpya itakayoitwa 'nipende' ikiwa imefanyika studio za mkubwa music chini ya utayarishaji wa producer Necka beat. Soon Ujio wake utasomeka hapa hapa kwenye Ukurasa wetu. Anaomba...

Saturday, December 6, 2014

Saturday, November 29, 2014

WILLIAM OTUCK - ZAWADI YA X - MASS ( New Audio Album )

Album mpya ya Krismasi! Huu ndiyo wimbo wa utambulisho kutoka kwa William Otuck: https://mkito.com/song/zawadi-ya-x-mas/4691 Album nzima inapatikana hapa: https://mkito.com/artist-profile/otuck-william/964 Krismasi hii, Santa hatokuwa akitoa zawadi peke yake. Na hata hivyo inaonekana kuwa...

Wednesday, November 26, 2014