KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Saturday, August 31, 2013

Kipaji kinachoota kwa kasi toka Makambako-Njombe.

Kipaji Kinachoota kwa kasi toka Makambako - Njombe. Artist anaeweza na anafanya Music wa Hip Hop. Katoka na Track iitwayo Labda Kesho ft J- Melody toka 05 Records. Video ya track hio inataraji dondoka soon mtaani. Tembelea link hapo chini kuisikiliza, share ama download track hio. Support yako...

Mjue Mtangazaji Na Dj Waloinua zaidi Music Nyanda za Juu kusini 2006-2013 mwanzoni.

 Moja kati ya watangazaji walofanikiwa leta mabadiliko makubwa ya Music Nyanda za Juu kusini, Eddo Bashiri akiwa kwenye kipindi chake cha One six show wakati huo bwana.  Dj Mkali, na alie leta Mabadiliko Makubwa nyanda za Juu Kusini Kwa sasa yupo Dar Capital Radio akipiga kazi huko. Miss...

Sehemu ya pili ya Mafanikio ya Msanii Mgc Mtata.

 The Sky English Medium, Moja ya madarasa ya Shule hio kwa sasa ambayo yanaendelea tumika na yako Chini ya Artist Mgc Mtata Mzee wa Kauli Ifunda Iringa.  Baadhi ya wanafunzi wanaosoma Hapo Masomo ya QT na Kurudia Mitihani ya kidato cha nne.  Darasa kwa ndani jinsi lilivyo, Wote...

Saturday, August 24, 2013

Friday, August 23, 2013

Je Unamjua Up Comming Artist Tajiri Kuliko wote Nyanda za juu kusini?

 Anajulikana kwa jina la Mgc-Mtata, Pichani hapo ambae Kaanza Music 2010 Rasmi kwa kurekodi wimbo uitwao Siamini, akiwa kamshirikisha Ibra na ukiwa umefanyika Rainbow records kwa Temi G wakati huo, badae ikaja Hip Hop Michano, Hatimae 2012 kuchomoka na Song La  Kauli, ft Smacka Mtata, Chini...

Wednesday, August 14, 2013

Obby feat Q-Jay--Huwezi jua.mp3

Obby feat Q-Jay--Huwezi jua.mp3  Kiukweli Obby (Obed Msigwa) aka Maphiyonso Hua naamin Hajawahi Fanya track Kali tena kama Hii Alofanya na QJ- wa Wakali Kwanza akati Huo Hajaokoka. Kama unabisha, fanyakama Unaichungulia hapa. Maon uscose kwa selengakaduma@gmail.com ama Ncheki kwa fb Selenga Kaduma. Miaaaah....

Friday, August 2, 2013