KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Saturday, August 31, 2013

Mjue Mtangazaji Na Dj Waloinua zaidi Music Nyanda za Juu kusini 2006-2013 mwanzoni.

 Moja kati ya watangazaji walofanikiwa leta mabadiliko makubwa ya Music Nyanda za Juu kusini, Eddo Bashiri akiwa kwenye kipindi chake cha One six show wakati huo bwana.
 Dj Mkali, na alie leta Mabadiliko Makubwa nyanda za Juu Kusini Kwa sasa yupo Dar Capital Radio akipiga kazi huko. Miss u Muba coz unatukumbusha Mengi. Alikua rafiki Mkubwa wa Eddo Nje ya kufanya kazi wote.
 Alikua kipenzi cha wengi wakati akitangaza, Na hata sasa bado anauliziwa saaaana Mtaani na wasikilizaji kibao. Kudhihirisha haya, Makonda madereva, wa daladala, vijana mitaani wamekua wakitumia moja ya sauti zake akiwa kwenye kipindi kama Miito ya simu kwenye simu zao. Hili nimeweza lishuhunia mwenyewe. Moja ya sauti hizo utaipata hapa hapa kwenye ukurasa huu.
Hapa akiwa nje ya Ofice yake Radio Ebony fm wakati anatangaza hapo.

Bado tunakupenda, na tunakukumbuka sana. Hope ipo siku watu mtajua kwanini niliamua makala ya Mtangazaji huyu, na Dj Muba ambae walikua kama Mapacha Ama kam Tom And Jerry kwa wale wapenda katuni. We Miss u Bro Kitaaaa.


http://www.hulkshare.com/w4411up48s1s

0 comments:

Post a Comment