KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Saturday, August 31, 2013

Sehemu ya pili ya Mafanikio ya Msanii Mgc Mtata.

 The Sky English Medium, Moja ya madarasa ya Shule hio kwa sasa ambayo yanaendelea tumika na yako Chini ya Artist Mgc Mtata Mzee wa Kauli Ifunda Iringa.
 Baadhi ya wanafunzi wanaosoma Hapo Masomo ya QT na Kurudia Mitihani ya kidato cha nne.

 Darasa kwa ndani jinsi lilivyo,

Wote Mnakaribishwa. Haya ndio yalikua baadhi ya Mafanikio na Miradi ya Msanii tajiri kuliko wote nyanda za juu kusini Mgc-Mtata, ambae anamtaji wa takribani 120 Million anazo miliki kwenye mali zake.

0 comments:

Post a Comment