Bofya HAPA https://mkito.com/song/chite-ft-chaba/15813 kupakua wimbo wa J DEAL akimmshirikisha CHABA kwa jina Chite na kwa mahojiano/mawasilano zaidi check na J Deal kwa nambari +255 766 642 006 au +255 718 515 772 powered by @vmgafrica @mkitodotcom www.vmgafrica.com @defxtro #vmgafrica #SupportYourOwn
Friday, September 11, 2015
JUMA JUX FT JOH MAKINI ( New Audio )
Posted by NAOMIKADUMA On 6:28:00 PM
Hivi karibuni msanii wa Bongo Flava Jux ameachia wimbo mpya "Looking For You" akimshirikisha Rapper Joh Makini.
'Looking For you' sasa upo namba 3 kwenye chati za Mkito!
CHRISTIAN BELLA - AMERUDI ( New Audio )
Posted by NAOMIKADUMA On 6:16:00 PM
Christian Bella pamoja na bendi yake Malaika Music Band wanakuja na kibao kipya AMERUDI. Pakua hapa:
SUMA G - MZALENDO ( Audio )
Posted by NAOMIKADUMA On 6:03:00 PM
Tunayo furaha kumkaribisha Suma G kwenye familia ya Mkito!
Mzee wa "Vituko Uswahilini" ameachia wimbo mpya hivi karibuni unaoitwa MZALENDO
Link >
KLEINA FT DEDDY - IT'S YOU ( New Audio )
Posted by NAOMIKADUMA On 5:55:00 PM
Kutoka studio ya Transformax chini ya Lucci ni wimbo mpya wa Kleina, msanii chipukizi anayefanya vizuri.
AMKA MTANZANIA featuring Songa, Zaiid, P The MC, Wakazi, One The Incredible, Stereo & Nikki Mbishi ( Video )
Posted by NAOMIKADUMA On 5:31:00 PM
AMKA MTANZANIA featuring Songa, Zaiid, P The MC, Wakazi, One The Incredible, Stereo & Nikki Mbishi. Music produced by Innocent Mujwahuki, video Shot, Edited & Directed by Mecky Kaloka. It is a song that promotes patriotism and activism among Tanzanian youth to use the power they have to speak on matters that affect them as well as vote and choose leaders that will stand & act on issues that affect them the most. Most importantly it is telling them to WAKE UP and Act as they are and should be the change they desire to see.
Monday, September 7, 2015
FRESH ANDY FT OMMY DIMPOZ - HAPPY DAY ( New Audio )
Posted by NAOMIKADUMA On 6:05:00 PM
NIMEKUSOGEZEA EXCLUSSIVE NEW SONG TOKA FRESH ANDY AKA DOGO SCOPY ENZI HIZO IJULIKANAYO KWA JINA LA HAPPY DAY UKIWA NAMAANA YA SIKU YAFURAHA. WIMBO HUU UMETENGENEZWA NA MAN WATER TOKA STUDIO ZA COMBINATION SOUND DAR ES SALAAM, PIA NDANI YAWIMBO HUU KAPEWA NAFASI YAKUSHIRIKISHWA MWANAMZIKI OMMY DIMPOZ. UNGANA NAMI KUWA WAKWANZA KUUSIKILIZA WIMBO HUU KWA KUUPAKUA HAPA CHINI KWA KUBOFYA KITUFE KILICHOANDIKWA DOWNLOAD.
KWAMAONI,USHAURI,INTERVIEWS AMA BUKINGS ZA SHOWS KWA FRESH ANDY, UNAWEZA MCHEKI KWANA NAMBA HIZI.
+255767468484 - FRESH ANDY OR +255757363005 - BLOGGER SELENGA KADUMA.
Sunday, September 6, 2015
DAMIAN SOUL FT G NAKO - TUDUMISHE ( New Audio )
Posted by NAOMIKADUMA On 5:55:00 PM
Mfalme wa Soul music nchini Tanzania ameungana na mkali wa kuchana G Nako katika track iitwayo TUDUMISHE ikiwa katika miondoko ya Reggae. Pata flava hii kali hapa
DARASSA FT MR BLUE - HEYA HAYE ( New Audio )
Posted by NAOMIKADUMA On 5:46:00 PM
Mkito uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu sasa upo hewani! Darassa akimshirikisha Mr Blue, Heya Haye
Link >
FEZA FT CHEGE - SANUKA ( New Audio )
Posted by NAOMIKADUMA On 5:12:00 PM
WAKAZI - PARTY (New audio )
Posted by NAOMIKADUMA On 4:47:00 PM
Kama hukupata nafasi ya kusikia ngoma mpya ya Wakazi alioachia hivii karibuni basi nafasi yako hii hapa!
Wimbo wa Wakazi "Party Exclusive" ni wimbo mpya uliotengenezwa na Cjamoker kutoka kwenye alabam yake Kisimani atakayoiachia hivi karibuni
Pakua hapa
ISAYA - ASIA ( New Video )
Posted by NAOMIKADUMA On 4:24:00 PM
Singer Name:- Isaya
Song Name:- Asia
Country;- Tanzania
Genre;- Bongo Flavour
Director:- I'Com Papir & Saimako
Youtube Video Link>>
JUMA ENGLISH FT PLACK & NAHUM - ACHA WASEME ( New Audio )
Posted by NAOMIKADUMA On 2:58:00 PM
Bofya HAPA https://mkito.com/song/acha-waseme-ft-plack-and-nahum/15640 Kupakua wimbo wa Juma English ft Plack & Nahum kwa Jina "Acha Waseme" na kwa mahojiano/mawasiliano zaidi check nae kwa Nambari +255 766 860 782
powered by @vmgafrica @noizmekah @man_batoo @j4cinyo @shuttupdeejayz @fredyse1 @djhaazu @stewatgeorge @evagodchance @batooentertainment @mkitodotcom www.vmgafrica.com @defxtro #vmgafrica #SupportYourOwn
NAKAAYA FT KALA JEREMIAH - NIMECHOKA ( New Audio )
Posted by NAOMIKADUMA On 2:48:00 PM
MANENO KUTOKA KWA NAKAAYA:
Leo ndio siku ninayoachia nyimbo yangu "nimechoka" naomba uisikilize, vilevile mtumie na mwenzio. Sambaza UJUMBE. Ninaamini kuwa wote tukizungumza bila uoga, tukiamka... tunaweza kuwa na Tanzania isiyo na ufisadi. Haijalishi wewe ni chama kipi, kilicho na maana ni- ukweli unaousimamia. Je hujachoka hizi sekeseke za hii serikali? Kwanini viongozi wetu hawahangaikii na kutatua vitu vya msingi? Afya, miundombinu, elimu nk. Ni sababu tunachagua fisi kuchunga mbuzi na wanapowala hao mbuzi eti tunashangaa! Mwaka huu, Mtanzania mwenzangu- chagua kwa busara...kwa hekima. Usimuangalie kavaa rangi gani au anatokea chama kipi...mwisho wa siku wote wanafanana fanana, ila angalia mtu binafsi, sera zake, historia yake ya maendeleo katika nchi hii na jimbo lake je yeye ndie atakaetupa uhuru? Kwa sababu ndugu yangu, sijui kama umeshashtukia...hatupo huru. Mapambano yanaendelea. Nakaaya Sumari - 2015
Sunday, August 30, 2015
JANE RICH - TUKO PAMOJA ( New Audio )
Posted by NAOMIKADUMA On 1:08:00 PM
kupata wimbo wa mwanadada @janerich54 Jane Rich na kundi lake la AJR's, na kwa mawasiliano zaidi check nae kwa nambari +255 788 195 192 powered by @vmgafrica @noizmekah @man_batoo @j4cinyo @shuttupdeejayz @fredyse1 @djhaazu @stewatgeorge @evagodchance @batooentertainment @mkitodotcom www.vmgafrica.com @defxtro #vmgafrica #SupportYourOwn
--
CMPOO FT CHINDO UMBWAX - NISEME ( Audio )
Posted by NAOMIKADUMA On 12:59:00 PM
Kupakua wimbo wa "Cmpoo @cmpoos akimshirikisha "Chindo" @umbwax wimbo wa HipHop Category kwa jina "Niseme" ikiwa ni single itakayopatikana kwenye album yake "NAIONA SAA INAVYOKWENDA" ambayo itadrop rasmi mitaani Desemba mwaka huu.kwa mawasilano/mahojiano check na CMPOO kwa nambari +255 757 613 316 powered by @vmgafrica @noizmekah @man_batoo @j4cinyo @shuttupdeejayz @fredyse1 @djhaazu @stewatgeorge @evagodchance @cmpoos @mkitodotcom www.vmgafrica.com @defxtro #vmgafrica #SupportYourOwn
SUSUMILA FT KUSH TRACE - UMENITOSHA ( Audio )
Posted by NAOMIKADUMA On 12:49:00 PM
Susumila ni msanii anayetamba kwa sasa Mombasa Kenya na huu hapa ni wake mpya akimshirikisha Kush Tracey - UMENITOSHA!
G-FIVE - SIKUACHI ( New Audio )
Posted by NAOMIKADUMA On 12:32:00 PM
Subscribe to:
Posts (Atom)




























