FRESH ANDY FT OMMY DIMPOZ - HAPPY DAY ( New Audio )
NIMEKUSOGEZEA EXCLUSSIVE NEW SONG TOKA FRESH ANDY AKA DOGO SCOPY ENZI HIZO IJULIKANAYO KWA JINA LA HAPPY DAY UKIWA NAMAANA YA SIKU YAFURAHA. WIMBO HUU UMETENGENEZWA NA MAN WATER TOKA STUDIO ZA COMBINATION SOUND DAR ES SALAAM, PIA NDANI YAWIMBO HUU KAPEWA NAFASI YAKUSHIRIKISHWA MWANAMZIKI OMMY DIMPOZ. UNGANA NAMI KUWA WAKWANZA KUUSIKILIZA WIMBO HUU KWA KUUPAKUA HAPA CHINI KWA KUBOFYA KITUFE KILICHOANDIKWA DOWNLOAD.
KWAMAONI,USHAURI,INTERVIEWS AMA BUKINGS ZA SHOWS KWA FRESH ANDY, UNAWEZA MCHEKI KWANA NAMBA HIZI.
+255767468484 - FRESH ANDY OR +255757363005 - BLOGGER SELENGA KADUMA.
0 comments:
Post a Comment