KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Saturday, March 9, 2013

Wednesday, March 6, 2013

Monday, February 18, 2013

Monday, February 11, 2013

Thursday, February 7, 2013

Maisha halisi ya Selenga Kaduma.

 Hizi ni moja ya edditinga ambazo hua anafanya Selenga Kaduma Akiwa ametulia Magheton Kwake.
Vipi, Ingeweza faa kua Cover ya Album kama angekua Mwanamuziki?

Haya ndo Maisha halisi ya Selenga Kaduma, Na hapa Ni Magheton kwake. Hana Mke, Hana Hata Mtoto wa kusingiziwa. Anaishi Pekeake, na anaenjoy sana Ishi pekeake sikuzote. Anapika mwenyewe chakula chake coz anapenda sana pika, ana fanya usafi mwenyewe, na anapenda jichanganya na marafiki hasa kupitia mitandao ya kijamii.Hii Ni moja ya Sehem ndogo ya siri ya Maisha yake.

Tuesday, February 5, 2013

Thursday, January 31, 2013

Wednesday, January 30, 2013

Tuesday, January 29, 2013

FURAHA MTITU amekamlisha albam yake ya kwanza

HUYU NIMWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI KUTOKA NYANDA ZA JUU KUSINI MKOA MPYA WA NJOMBE (LUDEWA) AMESHA MALIZA ALBAMU YAKE YA KWANZA YA AUDIO NA VIDEO INAYOITWA  ''BWANA YESU NISAIDIE''.......Imekamilika na nyimbo nane kwa manunuzi ya jumla na rejareja wasiliana nasi kwa : 0754 885 077  AU 0712 695 805

Baadhi ya picha wakati
wa utengenezaji wa video akiwa na director Tenya Brown wake nchini Malawi

 

                                     
 Director Tenya Brown akiwa katika pozi tofauti nchini Malawi baada ya kumaliza video ya mwisho ya muimbaji
Furaha Mtitu,
Na hii ni moja ya video ya Mwimbaji Furaha Mtitu iliyo katika albam ya ''BWANA YESU NISAIDIE''

Friday, January 4, 2013