Hizi ni moja ya edditinga ambazo hua anafanya Selenga Kaduma Akiwa ametulia Magheton Kwake.
Vipi, Ingeweza faa kua Cover ya Album kama angekua Mwanamuziki?
Haya ndo Maisha halisi ya Selenga Kaduma, Na hapa Ni Magheton kwake. Hana Mke, Hana Hata Mtoto wa kusingiziwa. Anaishi Pekeake, na anaenjoy sana Ishi pekeake sikuzote. Anapika mwenyewe chakula chake coz anapenda sana pika, ana fanya usafi mwenyewe, na anapenda jichanganya na marafiki hasa kupitia mitandao ya kijamii.Hii Ni moja ya Sehem ndogo ya siri ya Maisha yake.
Maisha halisi ya Selenga Kaduma.
Posted by NAOMIKADUMA On 9:01:00 AM
Related Posts:
NAZIZI - OVER YOU ( New Audio ) Wimbo mpya kutoka Super star wa Reggae, Ragga na Dancehall kutoka nchini Kenya - Nazizi. Wimbo unaitwa OVER YOU na umeandaliwa na Producer SAPPY. … Read More
GENTRIEZ FT AYLER - DAIMA ( New audio ) Wimbo mpya kutoka kwa msanii GENTRIEZ Ft. AYLER. Wimbo unaitwa DAIMA. … Read More
RIPOTI FUPI YA MKITO,COM KWA BLOGGLERS, WANAMUZIKI, NA WADAU WA MUZIKI AFRIKA MASHARIKI. Ndani ya muda mfupi tumeweza kuwafikia watu wengi kimuziki na pia wasanii wengi wameanza kuona matunda ya kazi zao kupitia mauzo ya online. Wa kwa… Read More
MADEE - VUVULA ( New audio ) Wimbo mpya kutoka kwa MADEE chini ya producer DJMAPHORISA … Read More
KALA PINA FT OMMY DIMPOZ - GOOD TIME ( New Audio ) Wimbo mpya kutoka kwa Kala Pina na Ommy Dimpoz - Good Time! … Read More
0 comments:
Post a Comment