HUYU NIMWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI KUTOKA NYANDA ZA JUU KUSINI MKOA MPYA WA NJOMBE (LUDEWA) AMESHA MALIZA ALBAMU YAKE YA KWANZA YA AUDIO NA VIDEO INAYOITWA ''BWANA YESU NISAIDIE''.......Imekamilika na nyimbo nane kwa manunuzi ya jumla na rejareja wasiliana nasi kwa : 0754 885 077 AU 0712 695 805
wa utengenezaji wa video akiwa na director Tenya Brown wake nchini Malawi
Director Tenya Brown akiwa katika pozi tofauti nchini Malawi baada ya kumaliza video ya mwisho ya muimbaji
Furaha Mtitu,
Na hii ni moja ya video ya Mwimbaji Furaha Mtitu iliyo katika albam ya ''BWANA YESU NISAIDIE''
0 comments:
Post a Comment