KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Friday, February 27, 2015

KHALIGRAPH JONES - SONGEA ( New Audio )


Msanii maarufu wa Hip Hop kutoka nchini Kenya, Khaligraph Jones anakuletea wimbo wake mpya SONGEA ambao kwa sasa umeshika chati za Kenya. Khaligraph ni msanii anayetambulika sana KENYA na pia amewahi kuwashirikisha wasanii wakubwa wa nchini Kenya pamoja na nje ya Kenya.

HONE CLASSIC - WE MAMA ( New Audio )


Kupakua wimbo wake kwa jina "We Mama" ikiwa ni BongoFleva Category toka Noizmekah Studios chini ya @defxtro,kwa mawasilano/mahojiano zaidi check na HONE Classic kwa nambari +255 767 861 349 powered by @vmgafrica www.vmgafrica.com @noizmekah #SupportYourOwn #vmgafrica --

VIDEO YA FID Q KUINGIA MTAANI RASMI TAREHE 1 MARCH ( Coming Soon )


Mwanamuziki Nguli wa Hip Hop Tanzania Fareed Kubanda aka Fid Q, anataraji Ingiza mtaani video ya Wimbowake uitwao Bongo Hip Hop ilofanywa na Director Nisher Jumapili ya tar 1/3/2015. Uzinduzi wa video hio unataraji fanyika katika ukumbi wa club Billz jiji Dar es Salaam. Hayo yameweza thibitika baada ya msanii huyo kuandika kwenye ukurasa wake wa Instagram "Ok .. Deni kwisha..!! Billz ndiko kioo kitaonekana kwa mara yakwanza.. 1/3/15 <- save the date," Hiyo inataraji kua nivideo yake yakwanza yawimbo wake mwenyewe tangia ile ya SIHITAJI MARAFIKI Iliyotoka zaidi ya miaka Miwili iliyopita. Ungana nami hapa kila siku ili kua wakwanza kupata Coming Soon za Kila kitu. Kama Ni mwanasanaa na Una Coming Soon yeyote ama Update yeyote unaweza tutumia hapa selengakaduma@gmail.com ASANTE NA KARIBUNI

HATIMAE CHID BENZ AACHIWA HURU NA MAHAKA KWA KESI YA MADAWA YAKULEVYA.


MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu Jana imemwachia mwanamuziki Rashid Makwilo 'Chid Benz' baada ya kulipa faini ya sh. 900,000 kufuatia kukamatwa akiwa na madawa ya kulevya. ChidBenz alikamatwa mwaka jana katika Uwanja wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyere Jijini Dar es Salaam akiwa na madawa yakulevya aina ya bangi na Heroin. Mwanamuziki huyo ambae alikiri kosa hilo wiki ilio pita, alikamatwa uwanjani hapo akiwa amejitayarisha kupanda ndege kwenda Jijini Mbeya kwenye Tamasha la Muziki. Sasa CHID BENZ kawa HURU kuanzia tarehe 26/02/2015 baada ya mahakama kutoa hukumu ya kifungo cha miaka Miwili jela, ama kutakiwa lipa fain ya pesa taslim Tsh 900,000/= Ambayo ililipwa mara moja nakumfanya kuwa huru.

PAKUA HAPA MIXTAPE ( Kanda Mseto ) YA P THE MC & ZAIID


P The MC pamoja na ZAiiD leo wameachia kanda mseto mpya kwenye tovuti ya Mkito. Sasa unaweza kupakua mix tape hiyo ya @pthemc na @zaiidyao inayoitwa "MWENGE KIWALANI" Kwa kuingia kwenye link hii hapa https://mkito.com/artist-profile/p-the-mc-na-zaiid/1076

IZZO B FT SHAA - KIDAWA ( New Video )


Official Music video for Kidawa performed by Izzo Bizness featuring Shaa, directed by Nick Dizzo of Focus Films,Tanzania . Produced by Dupy at Uprise Music and Mastered by Master J at MJ records. in Dar es Salaam, Tanzania. You can also Listen and download Kidawa Audio here http://bit.ly/1FNXhjM Follow Izzo Bizness on; Twitter: https://www.twitter.com/izzo_bizness (@izzo_bizness) Instagram: https://www.instagram.com/izzo_biznesss (@izzo_biznesss) Facebook: https://www.facebook.com/Izzo

Thursday, February 26, 2015

TANZANIA FEMALE ARTIST - SIMAMA NAMI ( New Audio )


Huu ni wimbo maalumu ulioimbwa na wasanii wa kike kutoka TANZANIA, wimbo huu unahusu janga la mauaji la ALBINO nchini Tanzania na duniani kote. Wimbo umeimbwa na wasanii hawa 1. Kajala (Bongo Movie), 2.Shamsa Ford (Bongo Movie), 3. Keisher (Bongo Flava Artist) 4. Mwasiti (Bongo Flava), 5. Linah (Bongo Flava), 6. Grace Matata (Bongo Flava), 7. Jack Wolper (Bongo Movie), 8. Irene Uwoya (Bongo Movie) 9. Shilole (Bongo Flava/Bongo Movie) 10. Khadijanito (Bongo Flava) 11. Zamaradi (Mtangazaji wa Radio)

Tuesday, February 24, 2015

CHELLA FT G TONA - NINGEZALIWA DAR ( New Audio )


Greetings to every body,today is ma birthday and i have decided to introduce my new track which is called ningezaliwa dar mixed by necka beat from mkubwa na wanawe studio and beat produced by Geof master from tongwe rec.i'm goin by the name of CHELLA MICHANO LUKUKI,+255764191674 is my contact.Your support please,.

Wednesday, February 18, 2015

KILICHOMSIKITISHA SANA CBH SIKU CHACHE KABLA YA SHOW YAKE ITAKAYOFANYIKA JMOS TAR 21.02


SIKILIZA HAPA KISA CHOTE... Me&MyFrIeNdS Chatrumz!!! Brings u... THE NIGHT OF MUSIC!!!! Partin, Clubbin, DvJ Mixing, Stars Special appearance & more!!! We gonna be dancing all night long... The show will be hosted by CBH aka Sampa Music King!! Jumamosi hii! Tarehe 21!! Seronera Night Club(Old Jacaranda) KinondonI 7000/= Tu! & get 1 free drink. Usikose! @meandmyfriendschats @cbhofficl @cbhhalawa #Tanzania #Kinondoni #Dar #Bongo

Saturday, February 14, 2015

Thursday, February 12, 2015

Monday, February 9, 2015

Friday, February 6, 2015

Wednesday, February 4, 2015

Monday, February 2, 2015

STORRY: UJIO WA ALBUM MPYA YA NELLY B 2015.


FAHAMU UJIO MPYA WA ALBUM YAKWANZA YA NEELLY B AMBAYO INATARAJI TOKA MWAKA HUU 2015. #‎FAHAMU‬, Baada ya kufanya vizuri na wimbo wake uliomtambulisha katika sanaa ya Hip Hop nyanda za juu kusini, rapper na mtangazaji wa kituo cha radio cha nuru fm mkoani iringa ndugu @NellyBee [nelly calocy msamilla] anatarajia kuja na project yake mpya hivi karibuni, kupitia akaunti zake za facebook na instagram rapper huyo amewaambia mashabiki wake wakae tayari kwa ujio wake mpya utaokwenda sambamba na album pia, kupitia picha ameweza kuonesha kuwa kuna watayarishaji wakubwa kama producer @PANCHO_LATINO wa B HITS MUSIC GROUP na producer @DUPYLILAI wa uprise music wakashiriki kutengeneza album hiyo ambayo mpaka sasa yeye mwenyewe hajataja jina la album hiyo.iringaTZA — with Nelly Calocy Msamilla.

Saturday, January 31, 2015

Friday, January 30, 2015

WANAMUZIKI MAARUFU NCHINI - TOKOMEZA ZIRO ( New Video )

Wimbo wa Tokomeza Zero wenye lengo la kuburudisha, kuelimisha na kuitaka jamii kuipa sekta ya elimu kipaumbele kwa maendeleo ya Taifa. Wimbo huo umeimbwa na Mwasiti, Linah, Roma ,Stamina, Maunda Zorro,Peter Msechu, Mwana FA, Linex, ,Keisha ,Diamond na Kala Jeremiah.

Monday, January 26, 2015

DJ NAS ft FRESH ANDY - NDIMGAYASIDA ( New Audio )


Kua wakwanza kupakua mikito miwili, mipya kwampigo toka kwa Dj Nas, kama zawadi ya mwaka mpya 2015 kwamashabiki wake popote walipo Duniani. 1. Unaitwa Ndimgayasida ( Sina Matatizo ) Ndan kamshirikisha Fresh Andy aka Dogo Scopy. Producer Kenny & King Briz 2. Unaitwa Iringa Boy,

Sunday, January 25, 2015

Saturday, January 24, 2015

Friday, January 23, 2015

909 - SIKUBALI KUSHINDWA ( New Audio )

909 waja tena kwa nguvu na Wimbo huu usemao sikubali kushindwa, wasikika ndani ya Wimbo huu wakisema “I used to be a problem, now am the solution” Sikiliza ngoma hii na wewe upate matumaini na ni uhakika ukiisikiliza mara moja tu, “sikubali kushindwa” itakuwa slogan ya Maisha yako.

Monday, January 19, 2015