KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Sunday, February 14, 2016

Friday, February 12, 2016

Monday, February 1, 2016

INSPECTOR HAROUN FT JAY MOE & IBRA - JANUARY TO DECEMBER ( New Audio )

Inspector Haroun amerudi tena na safari hii yupo na Ibra na Jay Moe kwenye wimbo mpya January to December! "Shkamoo Januari nasema bye bye, pilau na wali tutaonana Februari" ndivyo inavyoanza verse ya babu. Burudika na wimbo huu hapa >...

ABBY SKILLS - MAMA KOKU ( New Audio )

Abby Skillz ni mmoja wa wasanii wa Bongo Flava aliyekuwa kwenye game kwa muda mrefu akifanya kazi na wasanii wengi kama Dully Sykes, Mr Blue na wengine wengi! Amewahi kutamba na nyimbo kama "Nakupenda" na "Mimi na Wewe" Huu hapa wimbo wake Mama Koku! Link > ...