KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Monday, February 1, 2016

ABBY SKILLS - MAMA KOKU ( New Audio )


Abby Skillz ni mmoja wa wasanii wa Bongo Flava aliyekuwa kwenye game kwa muda mrefu akifanya kazi na wasanii wengi kama Dully Sykes, Mr Blue na wengine wengi! Amewahi kutamba na nyimbo kama "Nakupenda" na "Mimi na Wewe" Huu hapa wimbo wake Mama Koku! Link >

0 comments:

Post a Comment