SAMPAMBA MUSIC ( SILLEY ) FT JAY MIKE - TICK TOCK ( New Audio )
Niwasanii toka Tanzania walio chini ya Studio inayojulikana kwa jina la Sampamba Music
wakimshirikisha msanii toka Marekani anayejulikana kwa jina la Jay mike
wimbo wao unaoitwa [Tick Tock] ambao umefanyika katika studio za Sampamba Music zilizopo Tanzania[Iringa] na Studio za Allusion Muzik zilizopo Marekani.
Wimbo wao unaitwa Tick Tock au Saa ya mshale unazungumzia maisha ya kila siku ya kijana mtafutaji.Producers walio shiriki kuuandaa wimbo huu ni Producer Silley toka Tanzania [Sampamba Music] na Jay Mike toka Marekani [Allusion Muzic]
mawasiliano 0763231052 au sampamba59@gmail.com na allusionfilms23@gmail.com.
Ahsante
0 comments:
Post a Comment