KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Tuesday, July 14, 2015

#DefQuotes #WazoLaDefxtro


Kumekucha! follow @defxtro #ishiukweli #wazoladefxtro Ujamaa umetusaidia Hatutembei Uchi, Ubepari Utatusaidia iwapo tutajitegemea kama Nchi .. Maana Halisi ya Kuuza Sura ni Kujituma kwenye Jambo Lisilo na Maslahi ya Kifedha kwako. MUZIKI ni kazi na USTAA ni Vazi..Fanya Kazi.

0 comments:

Post a Comment