TANZANIA MPYA - MWANA FA, CHRISTIAN BELLA, NIKKI WA PILI, & RUBY ( New Audio )
Collabo mpya kutoka kwa wasanii wanaosikika nchini sasa Mwana FA, Christian Bella, Nikki Wa Pili na Ruby. Wimbo unaitwa TANZANIA MPYA na melody imeandikwa na Ditto wa THT. Jikoni si wengine bali ni wakali P Funk Majani na Lamar.
0 comments:
Post a Comment