SAMATA - WANABOA ( New Video )
Huyu Ni msanii Wa Kizazi Kipya Lakini Pia ni Mhandisi,Anapenda sana
Muziki ndio maana Pamoja na Usomi wake Bado Anafanya Muziki.Wanaboa ni
wimbo Unaohusu MASIHA YA KILA SIKU HASA Uswahilini AMBAPO kUNA Tabia
Nyingi za Ajabu Ajabu.Wimbo ni Nzuri sana.
0 comments:
Post a Comment