LANGA FT SANAIPEI - WAZAZI WANGU ( New Audio )
Pakua wimbo mpya wa Langa "Wazazi Wangu" akimshirikisha Sanaipei kutoka Kenya
Wimbo huu ni wimbo wa tatu kati ya nyimbo saba kuachiwa katika albam yake baada ya "Matawi Ya Juu" na "Hip Hop", albam iliyotengenezwa na Producer Tedd Josiah kutoka nchini Kenya
0 comments:
Post a Comment