MTOZA MC - USIHUBIRI TENA ( New Audio )
Tunautambulisha kwenu wimbo mpya wa Mtoza mc toka kundi la MICHANO LUKUKI unaoitwa USIHUBIRI TENA.wimbo umefanywa na producer bwilu toka AB REC.Manzese tip top.Tunaomba sapoti yenu.Mawasiliano ni 0754871657.
0 comments:
Post a Comment