CHRISS BEE FT FRAGA - COCONUT ( New Audio )
HII KUTOKA KWA CHRISS BEE
Habari.
Nianze kukushukuru wewe mdau unae support muziki wangu,toka naanza safari yangu ya muziki umekua nami kuhakikisha muziki wangu unasogea mahali unapotakiwa kufika shukrani sana na Mungu akubariki.
Hizi ni track yangu mpya ya Tatu inaitwa COCONUT nikiwa nimemshirikisha Producer Fraga na imefanyika katika studio za Uprise Music.chini ya producer FRAGA. ni ngoma nzuri naomba tena support yako wewe mdau ili tuweze kusogeza muziki wa nyumbani mahala pengine asante.
Mimi naitwa CHRIS BEE ni Mtangazaji na DJ kutoka kituo cha Matangazo cha Redio Bomba FM Mbeya.
Mawasiliano:- +255 718 000 262
0 comments:
Post a Comment