KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Sunday, November 29, 2015

ATTU MIVOKO - NITAMPATAJE ( New Audio )


BAADA YA UKIMYA WA TAKRIBANI MWAKA MMOJA SASA, HIT MAKER WA "DO YOU LOVE ME" NA MSHINDI WA SUPER DIVA NYOTA WA MKOA WA IRINGA MWAKA 2014, HATIMAE KAINGIA MTAANI NA SINGO YAKE MPYA IJULIKANAYO KAMA "NITAMPATAJE" ILIYOFANYWA NA PRODUCER MWENYE UMRI MDOGO ZAIDI NA MGENI KABISA KATIKA TASNIA YA MUSIC PRODUCTION "ICE TOUCH" CHINI YA STUDIO ZA CHRIS RECORDS MAFINGA - IRINGA. KUA WAKWANZA KUUSIKILIZA WIMBO HUU WENYE VIONJO VYA AINA YAKE KWA KUUDOWNLOD HAPA CHINI...

NAFASI YA PEKEE KWAWANAMUZIKI WA MIKOA YA NYANDA ZAJUU KUSINI.


KAMA TANGAZO LINAVYO JIELEZA HAPO JUU, HII NDIO NAFASI YAKO PEKEE YAKUWEZA TUMIA KIPAJI CHAKO CHA MUZIKI KATIKA KUTENGENEZA AJIRA TANZANIA. UKURASA WETU UKISHIRIKIANA NA K-STAR RECORDS, UTASIMAMIA MPANGO HUU KWA WASANII WATAKAO KIDHI VIGEZO VINAVYO HITAJIKA. KUMBUKA KUFWATA MAELEKEZO YATANGAZO LETU PALE UTUMAPO KAZI ZAKO, AMA SAUT KWAUJUMLA. HATUTA HITAJI MAELEZO YA MAHALA ULIPO FANYIA KAZI ZAKO AMA JINA LA KAZIZAKO. TUNACHO KIHITAJI SISI HASA NISAUTI YAKO TU, ILI KUWEZA FANIKISHA USAILI WETU. KAZI UTAKAZO TUTUMIA KAMA TANGAZO LIVYO ELEZA HAPO JUU ITAKUA KWAAJILI YA KUTUWEZESHA SISI KUKUFANYIA USAILI TU NA SI VINGINEVYO. AIDHA KUSHINDWA TEKELEZA MAAGIZO AMA MASHERT YA TANGAZO LETU, ITAKUA NIMOJA YAVIGEZO VITAKAVYO ANGALIWA KWENYE USAILI WAKUWATAFUTA WANAMUZIKI TUNAO WATAKA. MFANO, KUTO TUMA JINALAKO KAMILI, JINA LA JUKWAAANI,MAHALA ULIPO NA MAWASILIANO YAKO VINAWEZA KUKUPOTEZEA SIFA. WASHINDI WETU WANNE TUNAO WATAFUTA WATAJULISHWA MOJA KWA MOJA KUPITIA MAWASILIANO YAO WALIO TUTUMIA, NAPIA WATATANGAZWA KUPITIA UKURASA HUU MAPEMA WIKI IJAYO INAYOANZA NA TAREHE 7/12/2015. PROGRAM HII NISEHEMU NDOGO YA KUJITOLEA KATI YA K-STAR RECORDS NA UKURASA WETU WA www.selengakaduma.blogspot.com KATIKA KUIBUA, KUKUUZA, NAKUENDELEZA VIPAJI VYA WANAMUZIKI WANAOCHIPUKIA MIKOA YA NYANDA ZAJUU KUSINI YAANI IRINGA, MBEYA, NJOMBE,RUKWA NA RUVUMA. NB: IKUMBUKWE KUA USHIRIKI WAKO UTAKUA WA HIARI NA SI LAZIMA. KARIBUNI NYOTE.

Friday, November 27, 2015

NAY WAMITEGO - NYUMBANI KWETU ( New Audio )


Mkito.com inakuletea exclusive kutoka kwa Mr Nay Wamitego. Wimbo unaitwa NYUMBANI KWETU. Hizi ni ladha na style mpya ukiangalia muziki ambao tumezoea kumsikia Nay akiwa anafanya. Lakini kipaji kinamruhusu kufanya vitu vya tofauti na basi ni wajibu wake kisanaa kufanya vitu tofauti. Pakua hili pini hapa:

Tuesday, November 24, 2015

Pacha the Great & Somali-Senti Tano ( New Audio )


kupakua ngoma mpya ya @Pacha_the_Great akiwa na @official_Somalipricante, ngoma kwa jina "Senti Tano" mkono toka kwa @daznaledge (DabMusic) na kwa mahojiano/mawasiliano zaidi check nao kwa +255 719 300 204 powered by @vmgafrica @mkitodotcom www.vmgafrica.com @defxtro #vmgafrica #SupportYourOwn

AVITMUSIC - HESHIMA MAPENZI ( New Audio )


Kupakua wimbo wa @AvitMusic kwa jina "HESHIMA MAPENZI" ikiwa ni RnB category toka @nizmekah kwa @defxtro, kwa mawasilano/mahojiano zaidi check na AVITMUSIC kwa nambari +255 762 617 037 powered by @vmgafrica @mkitodotcom www.vmgafrica.com @defxtro #vmgafrica #SupportYourOwn

Wednesday, November 18, 2015

KUTOKA KWA PRINCE:USHUHUDA WA JINSI YESU ALIVYOMTOKEA NA KUMPA UTUME NA KUMUAMURU AWE RASTA


Ilikua ni siku ya Ijumaa Terehe 13/2/2015 Usiku nikiwa Daresalam Tanzania maeneo ya Sinza, chumbani kwangu usiku nikiwa nimemaliza maombi na ninasoma Neno la Mungu, ghafla Nguvu ya Mungu kubwa sana ilinishukia nikiwa nimefunga macho nakuanza kutetemeka maana nilidhani mwisho wa Dunia ndio umefika, Ghafla ilitokea Nuru kubwa sana zaidi ya mwanga wa jua ikawa inanimulika usoni na kukimulika chumba chote. Niliogopa sana nami nikaanza kujiona kua ni mwenye dhambi kuliko wenye dhambi wote Duniani pia nilijiona kwamba simjui Mungu hata kidogo yaaani elimu yote mafundisho yote ninayo yajua kuhusu Mungu niliyaona ni sifuri nawala hayalingani kwa vyovyote na jinsi ukuu wa Mungu ulivyo. Nuru ilizidi kuongezeka mara nikaona mwanga mwingine mkali sana katikati ya Nuru ile; Ndipo nikasikia sauti kutoka katika mwanga ule ikisema "Amos Amos Amos Usiogope, mimi ni Yesu na nimekutokea kukupatia utume na kazi kubwa utakayoifanya Duniani kote, Nimekutia mafuta uwe Nabii na wewe ni mnadhiri wa Mungu tangu tumboni mwa mama yako, Kwanzia leo wembe usipite kichwani mwako wala ndevuni mwako. Nakutuma uende kwa Ndugu zako Marasta (Rastafariansi) uwaambie kwamba kurudi kwangu kuwachukua watu wangu kumekaribia sana, nimekaribia sana kutoka katika chumba cha Patakatifu pa patakatifu pa mbinguni ninakofanya kazi ya Ukuhani na muda sio mrefu mlango wa Rehema utafungwa. Waambie waache kumwabudu Haile selassie kwani Yeye sio Mungu, yeye ni mwanadamu tu na alishakufa na anasubiri hukumu ya mwisho. Waambie wanigeukie mimi wapate Uzima wa milele. Kwanzia leo Amos nataka utoke kwenye mifumo yote (Systems) na uishi kama Nabii na Mnadhiri wa Mungu nami nitakua pamoja nawe popote uendapo. Pia utaacha vishungi (Dreadlocks) vya nywele za kichwa chako vikue viwe virefu maisha yako yote. Pia nakutuma uende kwa ndugu zako Watoto wanaoishi mitaani, ukawahubirie Neno langu waokoke. Dunia haitakuelewa, utapokea upizani mkubwa sana kutoka kwa ndugu zako wa Kristo na wale ninaokutuma kwao, lakini usiogope maana mimi ni pamoja nawe. Kwanzia leo nakupa Nguvu za Uponyaji na kutenda miujiza, utafanya Huduma za maombezi na watu wengi watafunguliwa. Viwete watatembea, Vipofu wataona, Wafu watafufuka kwa jina langu (Yesu) Je uko tayari?". Nikiwa nimejifunika kwa shati langu hapo chini huku nikilia na kutetemeka nilijibu niko tayari kwenda niko tayari kufanya kazi yako Bwana. Mara nilishukiwa na umeme mkali sana wa mbinguni Nguvu na Nuru ambayo sina lugha ya kuelezea. Lugha ya kibinadamu haitoshi kuelezea mambo makubwa Bwana aliyo nionyesha. Tangu siku hiyo maisha na mtazamo wangu vimebadilika kabisa. Naishi nakutembea na Nguvu kubwa sana za Mungu na nimekua katika maombi ya kufunga na Kukesha kwa muda mrefu sana. Mambo makubwa yanatendeka katika maisha yangu. Malaika wa Mbinguni wamekua wakinitokea mara kwa mara na kunitia moyo na Nguvu katika kazi hii ninayo ifanya. Yako mambo mengi aliyo nionyesha Yesu nami nitakua naya andika kidogo kidogo kwa kadiri Bwana atakavyokua akiniruhusu kufanya hivyo By PRINCE AMOS MWANAMUZIKI WA MUZIKI WA INJILI TANZANIA

HARMONIZE - KIDONDA CHANGU ( New Audio )


Harmonize amekuwepo katika game kwa muda na kurekodi nyimbo kadhaa kabla hajanza kusikika kila kona. KIDONDA CHANGU ni wimbo aliyeurekodi kipindi cha nyuma kidogo lakini hukupata airplay ambao wimbo huu ulikuwa unastahili. Pakua wimbo hapa na ufurahie kipaji cha kijana huyu HARMONIZE.

Monday, November 2, 2015

YAWCHRIS - WAWILI ( New Audio )


Kupakua wimbo wa "YAW CHRIS" kwa jina "Wawili" ikiwa ni BongoFleva Category Beat toka Grandmaster na Vocals/Mixing pande za Noizmekah na kwa mahojiano/mawasilano zaidi check na Yaw Chris kwa Nambari +255 769 839 410 powered by @vmgafrica @mkitodotcom www.vmgafrica.com @defxtro #vmgafrica #SupportYourOwn --

KUTANA NA ALBUM NZIMA YA CHELLA - RUDI MKOA ( Audio )


NIMEKUSOGEZEA ALBUM YA AUDIO YA MWANAMUZIKI TOKA NJOMBE KWA JINA LA RUDI MKOA. ARTIST-CHELLA(From Michano Lukuki crew)##ALBUM-RUDI MKOA#Contact +255764191674/+255673191674) Link https://mkito.com/artist-profile/chellamichano-lukuki/4761.##Y'support please.