KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Tuesday, November 24, 2015

Pacha the Great & Somali-Senti Tano ( New Audio )


kupakua ngoma mpya ya @Pacha_the_Great akiwa na @official_Somalipricante, ngoma kwa jina "Senti Tano" mkono toka kwa @daznaledge (DabMusic) na kwa mahojiano/mawasiliano zaidi check nao kwa +255 719 300 204 powered by @vmgafrica @mkitodotcom www.vmgafrica.com @defxtro #vmgafrica #SupportYourOwn

1 comment:

  1. Wazee kazeni.....mtuwakilishe wa kijenge - Arusha INTERNATIONALLY! Perfect rhymes, perfect beat...perfect single!
    Ila msije mkahamia Dar kiduanzi mkaua kipaji chetu....Game ni hapa hapa home man! wagwan..

    ReplyDelete