Wimbo wa Tokomeza Zero wenye lengo la kuburudisha, kuelimisha na kuitaka jamii kuipa sekta ya elimu kipaumbele kwa maendeleo ya Taifa. Wimbo huo umeimbwa na Mwasiti, Linah, Roma ,Stamina, Maunda Zorro,Peter Msechu, Mwana FA, Linex, ,Keisha ,Diamond na Kala Jeremiah.
...
Kua wakwanza kupakua mikito miwili, mipya kwampigo toka kwa Dj Nas, kama zawadi ya mwaka mpya 2015 kwamashabiki wake popote walipo Duniani.
1. Unaitwa Ndimgayasida ( Sina Matatizo ) Ndan kamshirikisha Fresh Andy aka Dogo Scopy. Producer Kenny & King Briz
2. Unaitwa Iringa Bo...
909 waja tena kwa nguvu na Wimbo huu usemao sikubali kushindwa, wasikika ndani ya Wimbo huu wakisema “I used to be a problem, now am the solution” Sikiliza ngoma hii na wewe upate matumaini na ni uhakika ukiisikiliza mara moja tu, “sikubali kushindwa” itakuwa slogan ya Maisha yako.
...
Ndani ya muda mfupi tumeweza kuwafikia watu wengi kimuziki na pia wasanii wengi wameanza kuona matunda ya kazi zao kupitia mauzo ya online. Wa kwanza wa kumshukuru katika hili ni wewe mwenye blog. Asante kwa uzalendo wako na pia kwa kutoa support kubwa katika kuuendeleza muziki wa Kitanzania. Bado...
Wimbo mpya kutoka Super star wa Reggae, Ragga na Dancehall kutoka nchini Kenya - Nazizi. Wimbo unaitwa OVER YOU na umeandaliwa na Producer SAPPY. Wimbo huu umetoka kwenye E.P. ya Nazizi iitwayo EVO LLUSION ambayo imetoka chini ya label ya Lovechild records...