NIMEKUSOGEZEA VIDEO MPYA KABISA YA MWANAMUZIKI WITNESZ KIBONGE MWEPEC DAKIKA CHACHE TUU BAADA YAKUACHIWA MTANDAONI. KUPITIA UKURASA WAKE MPYA KABISA WA YOUTUBE CHANEL SASA UNAWEZA ITIZAMA VIDEO HII KWA KUFOLLOW LINK HII HAPA https://youtu.be/oo1GBCvpEfM NA KUSUBSCRIBE AMA KUBOFYA KITUFE CHA PLAY...
Saturday, December 19, 2015
YAMOTO BAND FT ZENA - MAMA ( New Audio )
Posted by NAOMIKADUMA On 1:21:00 AM

Usipitwe na ngoma jipya la Yamoto wakimshirikisha Zena - MAMA!
Link >
...
BLACK RHINO FT HDN & CHIBWA MAN - TIME YA KUMEKI DOO ( New Audio )
Posted by NAOMIKADUMA On 1:12:00 AM

Muda wa kutengeneza pesa na wimbo mpya wa Black Rhino! Kuwa wa kwanza
Link >...
PRINCE AMOS - RASTA NJOO ( New Audio )
Posted by NAOMIKADUMA On 1:07:00 AM

Habari yako ndugu yangu. huu hapa ni wimbo mpya kabisa wa Gospel Reggae, toka kwa mwanamuziki Prince Amos track inakwenda kwa jina la "Rasta Njoo" track nimerekodia Nairobi Kenya, katika studio za Dimax. Anaomba sapoti yako mdau.
...
Interview ya Chella at ebony fm iringa with edwin bashir tiger mnyama
Posted by NAOMIKADUMA On 12:50:00 AM

Habari!Kwa wale mashabiki Wa michanolukuki waliokosa interview ya Chella aliyofanyiwa na Edwin bashir(Tiger mnyama)wanaweza kuisikiliza kupitia link hii ili kujua zaidi mipango ya kundi hilo inayofuata.Kundi linaloundwa na mtoza mc na chella toka kibena Njombe Tanzania...
MR ET - TANZANIA ( New Audio )
Posted by NAOMIKADUMA On 12:43:00 AM

kupakua wimbo wa Mr ET aka Evarest Thomas na Wimbo kwa jina Tanzania ikiwa ni HipHop Category kwa mahojiano/mawasiliano check nae kwa nambari +255 756 270 915 powered by @vmgafrica @mkitodotcom www.vmgafrica.com @defxtro #vmgafrica #SupportYourOw...
WARIOBA - GIVE ME ( New Audio )
Posted by NAOMIKADUMA On 12:36:00 AM

Sasa unaweza kupakua wimbo mpya wa Warioba - Give Me
Link >...
MWANA FA - ASANTENI KWAKUJA ( New Audio )
Posted by NAOMIKADUMA On 12:31:00 AM

Hii hapa zawadi mpya kabisa kutoka kwa Mwana Falsafa - ASANTENI KWA KUJA!...
PROMISE FT CHEGE & MUCKY - NIPE PENZI ( New Audio )
Posted by NAOMIKADUMA On 12:26:00 AM

Huu ni wimbo mpya alio uwachia rasmi leo kutoka kwa msanii PROMISE (@PromiceAfrica) akiwashirikisha CHEGE (@ChegeChigunda) na MUCKY, kwenye huu wimbo unaoitwa NIPE PENZI umetayarishwa na Producer MR T TOUCH ikiwa ni Love and Dance song. kwa mawasiliano / Interview mcheki Promise kwa Email: promiseafrica007@gmail.com...
NAVIO FT BURNA BOY - GBESILE ( New Audio )
Posted by NAOMIKADUMA On 12:18:00 AM

When you mix one of the fastest growing artists on the continent with the biggest East African Rap brand, you get "Gbesile".
With Navio and Burna Boy joining forces on one song, it's easy to see how this is being predicted to be one of the biggest December songs of 2015 now on Mkito!
The song...
BATOO - BAMBIA ( New Audio )
Posted by NAOMIKADUMA On 12:11:00 AM

kupakua #Bambia ya @man_batoo #DancehallTune #RiddimLife #EntertainmentBoss Powered by @vmgafrica @defxtro www.vmgafrica.com #SupportYourOwn @djhaazu @j4cinyo @vmgafrica #SupportYourOwn @shuttupdeejayz @djp_tz @djnoel255
--
...
Raydream_Chella_sniper katili_humph b - Njiwa ( New Audio )
Posted by NAOMIKADUMA On 12:05:00 AM

Njiwa-Raydream_Chella_sniper katili_humph b...
Sunday, December 13, 2015
NIMEKUSOGEZEA PICHA ZAIDI YA 28 ZA SHOW YA MTIKISIKO 12/12/2015 IRINGA
Posted by NAOMIKADUMA On 1:43:00 AM
MAPEMA MCHANA WA TARE 12 WAKATI MAANDALIZI YA SHOW YAKIENDELEA NILIFANIKIWA FIKA NAKUSHUHUDIA KILICHOKUA KIKIENDELEA.
MOJA YA WANAMUZIKI WA IRINGA VIDY MWENYE SURUALI NYEKUNDU
ROMA AKIKIWASHA KWASTAGE
JUMA NARE NA RICH ONE WAKIKIWASHA JUKWAANI
DJ NAS AKIHOST SHOW TOKA EBONY FM
EDWIN...
DIAMOND PLATNUMZ - UTANIPENDA? ( New Audio )
Posted by NAOMIKADUMA On 12:49:00 AM

Sasa unaweza kupakua Audio rasmi ya wimbo mpya wa Diamond Platnumz - Utanipenda? ...
TRBADOUR FT IBRAH - UZURI WA SURA ( New Audio )
Posted by NAOMIKADUMA On 12:45:00 AM

Artist-Trubadour George Ft Ibrah
Track- UZURI WA SURA
Studio- Bantu Music Production
Huu ni wimbo wa kwanza wa mapenzi kuuachia hewani kutoka kwangu tangu nianze kufanya muziki, wimbo huu nimeshirikiana na Ibrah, wimbo huu nimetoa maalum kwa mwanamke ninayempenda na pia ni dedication ya watu wapendanao....
Barnaba x Mwasiti x The Voice - NJITI
Posted by NAOMIKADUMA On 12:39:00 AM

Sasa unaweza kupakua na kusikiliza wimbo maalum wa NJITI (premature babies) uliowezeshwa na Doris Mollel Foundation.
Njiti anaweza kuishi akipewa mazingira bora. Sambaza ujumbe huu kwa wengi tuwape faraja wazazi pamoja na Njiti wengi pia.
"You can now download and listen special song done...
Thursday, December 10, 2015
NAFASI YAKO SASA YA KUIPATA ALBUM YA FRESH ANDY & TENYA BROWN "PAWAMBU"
Posted by NAOMIKADUMA On 11:31:00 PM

KAMA ZAWADI YA MWISHO WA MWAKA, KWA WAPENZI WOTE WA MUZIKI ALBUMU YENYE NYIMBO ZA KISWAHILI MCHANGANYIKO NA NYIMBO ZA ASILI KATIKA MFUMO WA DVD, SASA IPO MTAANI RASMI TANGU MAPEMA MWANZONI MWA WIKI HII. UNAWEZA ITAFUTA SASA MTAANI KWA JINA LA "PAMBWAMBU" LIKIWA NA MAANA YA NG'AMBO TOKA LUGHA YAKIHEHE....
Chriss Bee ft Petronia - Bashee Official Music Video
Posted by NAOMIKADUMA On 11:16:00 PM
‘BASHEE’ is CHRIS BEE's Second official smash hit Video release through his worldwide exclusive partnership directed by Nicklass...
SHAKINOH KUFANYA UZINDUZI WA VIDEO YAKE MKOA KWA MKOA
Posted by NAOMIKADUMA On 11:07:00 PM
SHAKINOH KUFANYA UZINDUZI WA VIDEO YAKE MKOA KWA MKOA...
WAKAZI KUINGIA KWENYE KINYANG'ANYIRO CHA BEST KORA BEST HIP HOP 2016
Posted by NAOMIKADUMA On 10:55:00 PM

@Wakazimusic (Tanzania) has been nominated for the 2016 Kora Awards as "Best Hip Hop Act" alongside K.O (South Africa), Sarkodie (Ghana), Stanley Enow (Cameroon), Hamzaoui Med Amine (Tunisia) & Kiff No Beat (Cote D'voire). The Award Ceremony will take place in Windhoek, Namibia on March 20th...
KALAPINA FT DUNGA - MAGUFULI BALAA ( New Audio )
Posted by NAOMIKADUMA On 10:41:00 PM

Ngoma jipya la Kalapina "Magufuli Balaa" akimshirikisha Dunga 41 Recs sasa lipo hewani! Wewe unamuonaje Magufuli? Kalapina je? Sikiliza mkito hapo chini...
EWI - KUMBUSHO KWA RAISI ( New Audio )
Posted by NAOMIKADUMA On 10:36:00 PM

Kupakua wimbo wa EWI (Environmental Warriors Of Ilboru) kwa jina "KUMBUSHO KWA RAIS" ikiwa ni HipHop category yenye sauti za wakali Bounako, Spac Dawg, Boox, Chindo pamoja na Gnako mkono toka kwa @defxtro @noizmekah Studios kwa mawasilano/mahojiano zaidi check na Mkurugenzi wa EWI Ayubu kwa nambari...
COMING SOON: BAADA YA BEST NASSO NAISHU YA MADAWA YA KULEVYA SASA AFUNGUKA YAHA HAPA
Posted by NAOMIKADUMA On 10:33:00 PM

Baada Ya Kusemekana Best Nasso, Amekamatwa nchini Congo na Madawa Ya
Kulevya. Hatimae amewadhihilishia mashabiki wake kua tuhuma hizo si za
kweli,Na Ameachia bonge moja la wimbo.
Wimbo uitwao "RUMBA" ni Audio Pamoja na Video,Amesema wimbo huo
Utaanza Kupatikana kwenye mtandao wa Mkito.com kuanzia...
Ram Life ft Makamua & B the Boss Man - NIPENDE KAMA NILIVYO ( New Audio )
Posted by NAOMIKADUMA On 10:19:00 PM

Msanii wa hip hop "Ramlife" amekuletea ngoma hii mpya maskioni mwako ambayo ameitambulishwa rasmi kupitia www.eriqure.com , Wimbo unaitwa NIPENDE KAMA NILIVYO ulioandaliwa na Producer KAJU BEATS, Amewashirikisha "Makamua na B The Boss Man"
...
Subscribe to:
Posts (Atom)