COMING SOON: BAADA YA BEST NASSO NAISHU YA MADAWA YA KULEVYA SASA AFUNGUKA YAHA HAPA
Baada Ya Kusemekana Best Nasso, Amekamatwa nchini Congo na Madawa Ya
Kulevya. Hatimae amewadhihilishia mashabiki wake kua tuhuma hizo si za
kweli,Na Ameachia bonge moja la wimbo.
Wimbo uitwao "RUMBA" ni Audio Pamoja na Video,Amesema wimbo huo
Utaanza Kupatikana kwenye mtandao wa Mkito.com kuanzia Jumamosi Tarehe
12 mwezi wa 12 ambayo ni siku yake Ya Kuzaliwa.
Endelea kuungana nami hapa ili uwe wakwanza kuupata punde tuu utakapo achiwa rasmi.
0 comments:
Post a Comment