SHUKRANI ZA DHATI ZIWAENDEE,
1)Mheshimiwa mgeni mkuu wa wilaya ya mufindi evarista kalalu.
2)Wageni waalikwa
3)Katibu wa ccm wilaya mufindi-miraj mtaturu
4)Afisa maendeleo ya vijana wilaya-juma fuluge
5)Mjumbe wa halmashauri kuu ccm-marcelina mkini
6)Kaimu meneja waa benki ya mucoba-eliter maalangalila
7)Mshauri wa umoja huu dr yahaya Msigwa
8)Eddo Bashiri Mwenyekiti wa ummoja wa vijana Iringa
9)Rashid Msigwa Katibu wa Umoja wa vijana Iringa
10)Wanachama wote zaid ya 970 wa umoja wavijana Iringa pamoja na walio fanikisha Mchakato huu.
MUNGU IBARIKI AFRIKA, MUNGU IBARIKI TANZANIA NA MUNGU UBARIKI MKOA WETU WA IRINGA.
0 comments:
Post a Comment