KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Sunday, September 28, 2014

TEL OMAINO FT KAUYE - BADO NIPO NAE ( PICHA ZA LOCATION )

Artist: Tel Omaino ft. Kauye Production: 29Record/ Suly Director: Timmy San Timmy Production Video coming soon Video imefanyika mbezi beach Dar es Salaam na baadhi ya vipande vimechukuliwa maasai club. kinondoni MAPICHA YA LOCATION, VIDEO NJIAN COMMING SOON. MTAISOMA HAPA HAPA WADAU.





















HII HAPA CHINI NI AUDIO INAYOFANYIWA VIDEO HIO.

Sunday, September 21, 2014

MJUE MSHINDI SUPER NYOTA IRINGA 2014 ( UP DATE INFO )

SHINDANO LAKUSAKA VIPAJI VYA WASANII WAMUZIKI WA KIZAZI KIPYA, AMBALO HUA LINADHAMINIWA NA SERENGETI FIESTA KILA MWAKA. LIMEWEZA MUIBUA MWANADADA ATTU MC KAMA MSHINDI WA SUPPER NYOTA IRINGA AMBAE ATAKWENDA UWAKILISHA MKOA WETU IRINGA DAR KWA KUMSAKA MSHIND SUPER NYOTA NCHI NZIMA. MOJA YA OFFA ATAKAZOPATA MSHINDI KATIKA GRAND FINAL DAR ATAFANYA TRACK MOJA BURE ( AUDIO NA VIDEO ) COLLABLE NA DIAMOND PLATNUMZ. BIG UP ATTU, TUNAKUTAKIA UWAKILISHI MWEMA KWENYE GRAND FINAL DAR. LINI NA ITAKUAJE UTAJUZWA HAPA HAPA KUPITIA UKURASA WETU HUU.

Saturday, September 20, 2014

Sunday, September 14, 2014

POISON FT STAMINA & KENNY - MNIPOKEE ( NEW AUDIO )

Song - mnipokee Arts - Poison ft Stamina & keenny Producer - Vennt skillz Kwanza Records: Ni msanii mdogo sana ki umri, anautwa Immanuel maarufu poison. Hii ngoma uake ya kwanza amemshirikisha stamina na Mkali wa R $ B Morogoro Kenny. Anaishi katika mazingira magumu sana kwa kweli, anahitaji sana msaada wa wadau ili aweze kufikia malengo yake. Ukiwa kama mdau tunakuomba kumsaidia katika hili. Wasiliana nami Ahmadi Machaku: 0717b 51 96 52 Adili Omari :0719 926 957 Producer Vennt:0653 361 070 Ao watu wamejitolea kumsapot.

Monday, September 8, 2014

Friday, September 5, 2014

Tuesday, September 2, 2014

LONKA - BEAUTIFUL SMILE ( NEW VIDEO - comming soon )

Baada ya Video ya Hakuna Matata, Lonka Msanii toka Iringa, ambae kwasasa yupo dar es salaam kwa mahangaiko yakimaisha, anataraji ingi amtaani na video mpya itakayokwenda kwa jina la BEAUTIFUL SMILE Ilofanyika Dar chini ya Director, Jackson Joachim. Lonka anawaomba wadau wote wamuziki Tanzania na mashabiki kumpa support soon video itakapo dondoka mtaani. Mdawowote kuanzia sasa itaanza patikana hapa hapa kwa blog gii. Support ndo kila kituuuu.