LONKA - BEAUTIFUL SMILE ( NEW VIDEO - comming soon )
Baada ya Video ya Hakuna Matata, Lonka Msanii toka Iringa, ambae kwasasa yupo dar es salaam kwa mahangaiko yakimaisha, anataraji ingi amtaani na video mpya itakayokwenda kwa jina la BEAUTIFUL SMILE Ilofanyika Dar chini ya Director, Jackson Joachim.
Lonka anawaomba wadau wote wamuziki Tanzania na mashabiki kumpa support soon video itakapo dondoka mtaani. Mdawowote kuanzia sasa itaanza patikana hapa hapa kwa blog gii. Support ndo kila kituuuu.
0 comments:
Post a Comment